Yanga wamejipanga sana. Wanawezaje kumiliki vipindi vyote vya michezo nchini na kuwalazimisha kusema agenda zao?

Hata siku ya mechi simba na yanga watangazaji wa radio one walikuwa wanaonyesha ushabiki WA wazi wazi... Yaan mashambulizi Goli LA yanga hakuna bashasha na hata simba wakigusa Mpira mtangazaji anakuwa slow sana. Nadhani walijipanga Sana yanga kupenyeza rupia kwa vyombo vya Habari
Lakini hilo halizuii yanga kufunga
 
Hata siku ya mechi simba na yanga watangazaji wa radio one walikuwa wanaonyesha ushabiki WA wazi wazi... Yaan mashambulizi Goli LA yanga hakuna bashasha na hata simba wakigusa Mpira mtangazaji anakuwa slow sana. Nadhani walijipanga Sana yanga kupenyeza rupia kwa vyombo vya Habari
Kwa hujui IPP Media marehemu mzee Mengi alikuwa mwananchi
 
Back
Top Bottom