Yanga wameshinda lakini bado ni timu mbovu

Yanga wameshinda lakini bado ni timu mbovu

Sijaona kiwango chochote cha maana walichokionesha yanga.

Uto wameshinda kwasababu namungo ndio timu mbovu kuliko zote ligi kuu.

Yaani kwa kifupi kipofu kaona mwezi.
Ngoja tuje tukukande akili ikae sawa.
 
Yani hawa vyura ni waoga kweli walikimbia jukwaa..yani mlotegemea Namungo iwafunge namungo kila timu inajipigia...
Tushatoa wenge, hapo tegemea kila anaetia pua yake ni kupasuka tu.
 
Mbumbumbu kweli vichwa vimejaa mavi yani wewe ile gemu na pamba unajiona ulishinda kwa halali yule kipini cha pua kavaa camara si alijigonga kwa mchezaji mwenzake wa simba refa akasema faulo baada ya kuona msumari ushawaingia kunako..
Juzi ile mechi ya kombe la mabinti wa temeke mwisho mkicheza na maquiz du zaire bendi kutoka Angola mlicheza vizuri? Timu ina madansa na wapiga trumpet bado inawapelekea moto mpaka mnasubiri penati ndio mchomoe kuni kunako hovyo kabisa..
 
Sijaona kiwango chochote cha maana walichokionesha yanga.

Uto wameshinda kwasababu namungo ndio timu mbovu kuliko zote ligi kuu.

Yaani kwa kifupi kipofu kaona mwezi.
namungo ndio timu mbovu kuliko zote ligi kuu.

Yaani kwa kifupi kipofu kaona mwezi😂
Mwaka wa taabu
 
Back
Top Bottom