ala ,si vizuri kuwazuia watu wasende kupokea neema,Tanzania mbona mnaendekeza uchawi hadi kwenye soka?,ina maana bundi ni tishio la kuwazuia wachezaji wasicheze boli,?namna hiyo soka haliwezi kupanda.yaani msirogwe siku zote mje kurogwa siku ya mechi ya kuadhimisha uhuru, . wenzenu wamekuja kutoka huko mbali ili kuja kukipiga na nyinyi katika mwendelezo wa sherehe za kusherehekea uhuru then nyinyi Uyanga na Usimba mnashindwa kuwa wazalendo.Nyinyi vipi watu wa yanga,ni tawahama niende Azam Fc,ohoooo,kaeni chonjo msije mkanipoteza maana mimi ni mshabiki kiungo wa Yanga.