yanga wamewatolea nje asante kotoko...!!

yanga wamewatolea nje asante kotoko...!!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Ile mechi ya muonganiko wa timu mbili kati ya yanga na simba ambo ungecheza na asante kotoko kama maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa tanganyika umeingiliwa na Bundi.
yanga wamegoma kuwapleka wachezaji ambao wangeungana na wachezaji wa simba ili kupambana na asante. Hadi dakika hii yanga wameingia mitini. simba wamesema watakomaa wenyewe na watawafunga hao watoto wa Ghana. baada ya wachezaji wa yanga kusikia kila mchezaji angepewa laki3, kuna wachezaji walioingiwa na Tamaa lakini wakambiwa stop. mia
 
ala ,si vizuri kuwazuia watu wasende kupokea neema,Tanzania mbona mnaendekeza uchawi hadi kwenye soka?,ina maana bundi ni tishio la kuwazuia wachezaji wasicheze boli,?namna hiyo soka haliwezi kupanda.yaani msirogwe siku zote mje kurogwa siku ya mechi ya kuadhimisha uhuru, . wenzenu wamekuja kutoka huko mbali ili kuja kukipiga na nyinyi katika mwendelezo wa sherehe za kusherehekea uhuru then nyinyi Uyanga na Usimba mnashindwa kuwa wazalendo.Nyinyi vipi watu wa yanga,ni tawahama niende Azam Fc,ohoooo,kaeni chonjo msije mkanipoteza maana mimi ni mshabiki kiungo wa Yanga.
 
Yanga wamedai wameshtukia UNAFIKI wa viongozi wa Simba, mara nyingi wamekubaliana nao mambo halafu kwenye utekelezaji Simba hawatekelezi. Mfano walikubaliana wagomee mechi ya mshindi wa tatu klabu bingwa E.A kushinikiza waongezewe dau. Matokeo yake Simba wakaingiza timu uwanjani bila kuwaambia wenzao, Yanga wakakomaa na kile walichoagana, hapo ndipo Yanga walipokuwa na ile adhabu ya kufungiwa miaka mi3. Kwa hiyo viongozi wa Simba hawaaminiki, hata hii wangeweza kuwageuka wenzao.
 
simba kweli vigeugeu. hawaeleweki. wanasaliti hata kwenye mambo ya msingi. bora yanga wamestuka mapema.
 
YANGA bwana utadhani watoto wadogo, huyu nchunga alikubali sasa katikati ya safari wanakataa ndo maana soka la nchi haliwezi kukua hata siku moja mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom