Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo.

Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick

Bahasha fc.
Leta timu yako.
 
Timu ya hovyo kama Pamba ilipandaje daraja? Takataka kabisa
 
Hata mimi nimeona, muda mwingi alikuwa anacheza rafu zenye lengo lakuumiza ili apewe kadi nyekundu. Bahasha inafanya kazi
Kumbe mwana Kolo FC uliyejipa uyanga,unajipa tabu account mbilimbili. Wakati wewe mwenyewe ulikula 5 tena mkiwa mmekamilika.
 
Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo.

Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick

Bahasha fc.
Bahasha katoa Mo ili uyo mchezaji aumize wachezaji wa yanga🤣🤣
 
Ila wabongo vichwa maji kweli aisee. Yanga kumfunga Pamba mnasema bahasha? Pamba ambayo imepanda daraja juzi na toka imepanda daraja inafungwa tu na timu pinzani? Kwamba kwa mawazo yenu na akili zenu Yanga ni dhaifu kuliko timu zilizoifunga Pamba? Maana hamkusema vya bahasha alipofungwa na timu zingine

By the way, Yanga alimfunga Simba na Azam, hawa nao walipewa bahasha?
 
Back
Top Bottom