Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

Ila wabongo vichwa maji kweli aisee. Yanga kumfunga Pamba mnasema bahasha? Pamba ambayo imepanda daraja juzi na toka imepanda daraja inafungwa tu na timu pinzani? Kwamba kwa mawazo yenu na akili zenu Yanga ni dhaifu kuliko timu zilizoifunga Pamba? Maana hamkusema vya bahasha alipofungwa na timu zingine

By the way, Yanga alimfunga Simba na Azam, hawa nao walipewa bahasha?
Achana na mbumbumbu wameanza kuchanganyikiwa, wamebebwa mechi 2 na sasa wanabweka kama mbwa, Yanga kafunga magoli halali but wao ilibidi wasubilie m.pesa ya refa isome ndio iwaokoe kule Dodoma, ovyo kabisa!
 
Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo.

Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick

Bahasha fc.
Ushaanza kutema mate kila mahali kama mjamzito
 
Ila wabongo vichwa maji kweli aisee. Yanga kumfunga Pamba mnasema bahasha? Pamba ambayo imepanda daraja juzi na toka imepanda daraja inafungwa tu na timu pinzani? Kwamba kwa mawazo yenu na akili zenu Yanga ni dhaifu kuliko timu zilizoifunga Pamba? Maana hamkusema vya bahasha alipofungwa na timu zingine

By the way, Yanga alimfunga Simba na Azam, hawa nao walipewa bahasha?
Leicester iliwahi kupanda daraja na kuchukua ubingwa,
 
Timu mpya sasa bahasha alichukua nani, mpaka akaruhusu goli?

Mshukuruni refa yule aliye waokoa lwa kukataa magoli ya Aziz na Pacome,plus penalty ya Aziz.Halafu refa huyo huyo ndiye akaja kuwapa magoli mawili ya offside na Azam.
Tusubiri
 
Leicester iliwahi kupanda daraja na kuchukua ubingwa,
Sio kweli sijui nani huwa anawadanganya hii stori....Leicester City wakati anachukua ubingwa wa 2015-2016 ilikua msimu wake wa pili kwenye ligi. Msimu wa 2014-2015 alishika nafasi ya 14 huko
Screenshot_20241004-073850.jpg
 
Back
Top Bottom