Yanga wana timu nzuri saana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Yanga wana timu mzuri saana
Sio tu Timu Nzuri pia yanga wanacheza vizuri

Wanatakiwa kurekebisha makosa madogo tu

Ili wawe bora zaidi na makosa hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia nafasi ambazo wanatengeneza
Na kuboresha defance Yao tu kidogo

Wakifanya ivo hakika kwa mpira huu wao wa short pass hata muarabu anaweza kuliwa pale kwako misri

Sina Shaka watamtafuna belouizdad
 
Mkuu, lile pengo kwenye safu ya ulinzi jana ni kukosekana kwa Bacca, bahati hatukukutana na timu yenye mikikimikiki sijui ingekuwaje!

Hivyo, safu pekee ya kuangaliwa marekebisho ni ya umaliziaji.
Sijui kwanini ila jana nimemuonea huruma sana Musonda, nilikuwa karibu nikaona alivyosikitika kukosa lile goli niliumia kumuona vile.
 
sikuhizi umechangamka kweli umerudi penye amani..😂
 
Nikiwaambia hamkubali, leo umekiri mwenyewe!
Nyie nina rahaaaaa, kuwa na mtu anayekupenda na kukupa uhuru wa kuwa bora ndio kila kitu.

Na ndio ananipa muongozo wa kuwaandikia maubuyu sasa… 😜
enjoy
 
kama gsm ataendelea kubaki pale jangwani mbona ipo siku kila mtu hii nchi atashabikia yanga!!!
 
Wakiongezwa viungo Wawili wenye kasi na washambuliaji Wawili robo fainali inafikiwa na Mpaka fainali ya Caf CL kwa Mara ya kwanza Kama Caf CC ilivyokuwa.
 
Konkoni na musonda ni wafungaji wazuri mno na ndio maana konkoni pa1 na kukosa nafasi Yanga kaitwa timu ya taifa,nahisi kuna fala pale mbele anawapiga miba wenzake
 
Gori alilokosa nzengeli sina hamu kabisa. Ila kiukweli timu yangu inacheza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…