kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Yanga wana timu mzuri saana
Sio tu Timu Nzuri pia yanga wanacheza vizuri
Wanatakiwa kurekebisha makosa madogo tu
Ili wawe bora zaidi na makosa hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia nafasi ambazo wanatengeneza
Na kuboresha defance Yao tu kidogo
Wakifanya ivo hakika kwa mpira huu wao wa short pass hata muarabu anaweza kuliwa pale kwako misri
Sina Shaka watamtafuna belouizdad