Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

Kweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
Hiyo option ya kuchagua mechi ilishafutwa cku nyingi sana
 
Game c bdo zpo? anaweza chagua mechi ijayo ndio maana nkauliza kwan mechi ya simba ndio ya mwisho? tupihoji cc kuhusu Ajib tukajibiwa cmpo tu "atachagua mechi ya kukosa" so naomba na Fakhi nae apewe nafasi ya kuchagu tafadhal!
Hii kanuni ilishaondolewa
 
Hiyo option ya kuchagua mechi ilishafutwa cku nyingi sana
Haaaaaaaahaaaaaaaaa hpo ndio nlipokua napataka so ile sheria ilikuja kwa Ajibu tu ili kuibeba simba then ikafutwa maana haikuwahi kutumika kwa mchezaji mwengine zaidi ya Ajibu!
 
Hawa marefa wanafungiwa kwa sababu wanashindwa kuzuia yanga isipate ushindi kifupi wanashindwa kutimiza matakwa y wakuu xo kinachofanyika nikuwafungia ili wengine waogope!
 
Wachezaji wa Yanga bado awajalipwa mishahara mwezi march Tunawaomba Simba sc mtusaidie jamani uwiiii
 
Yanga wanashindwa kuelewa lile kombe si la timu yao pekee,kila timu inahaki ya kulibeba.Wengine kwa ujinga wao wanasema eti yanga kasajili kwa gharama kubwa hivyo anahaki.Huu ni ujinga uliokithiri,kama swala ni pesa nyingi ligi ya nini sasa.Acheni simba wadai haki yao.
 
Tuliwafoc kutoa hela nyng kwa ajl ya wazee km kina zulu?
 
Kweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
Hahahah inatakiwa kuchagua mechi kabla ya kucheza mechi hata moja.
 
Ni mume wako anayekurandua marinda pole sana
Angalia takwimu kijana acha kukurupuka. Yanga habebi ubingwa kwa maamuzi ya mezani kama Simba Koko.

Mmeenda Kagera, mmepigwa katerero mkakimbilia TFF. Swali ni je, Mngeshinda mechi mngekimbilia TFF kushtaki kadi?

Mmeenda Kirumba mkapigwa MBAO za matako, bwana yule akaingia chumba cha Mbao na kufanya yake kipa akapewa maelekezo ya kutema mipira mbele ya Bulaginoni, kama Mbao wasingekuwa na njaa leo ungekuwa hapa unabwabwaja?

Mna visa sana nyie watoto
 
Kweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
Kuna wakati hii timu ya sokoni ilitaka kushuka daraja, ikabidi FAT ifanye mipango kuinusuru. Ndio haya unayoyaona leo, bila saa 72 Forum, Simba hapandi ndege tena. Mpira wa uwanjani ndio ule uliouona Kaitaba
 
Back
Top Bottom