Hiyo option ya kuchagua mechi ilishafutwa cku nyingi sanaKweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
Hii kanuni ilishaondolewaGame c bdo zpo? anaweza chagua mechi ijayo ndio maana nkauliza kwan mechi ya simba ndio ya mwisho? tupihoji cc kuhusu Ajib tukajibiwa cmpo tu "atachagua mechi ya kukosa" so naomba na Fakhi nae apewe nafasi ya kuchagu tafadhal!
Bwawa au uwanja unataka??Tutumie na ule uwanja mkuu
Haaaaaaaahaaaaaaaaa hpo ndio nlipokua napataka so ile sheria ilikuja kwa Ajibu tu ili kuibeba simba then ikafutwa maana haikuwahi kutumika kwa mchezaji mwengine zaidi ya Ajibu!Hiyo option ya kuchagua mechi ilishafutwa cku nyingi sana
Tuliwafoc kutoa hela nyng kwa ajl ya wazee km kina zulu?Yanga wanashindwa kuelewa lile kombe si la timu yao pekee,kila timu inahaki ya kulibeba.Wengine kwa ujinga wao wanasema eti yanga kasajili kwa gharama kubwa hivyo anahaki.Huu ni ujinga uliokithiri,kama swala ni pesa nyingi ligi ya nini sasa.Acheni simba wadai haki yao.
Hahahah inatakiwa kuchagua mechi kabla ya kucheza mechi hata moja.Kweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
Angalia takwimu kijana acha kukurupuka. Yanga habebi ubingwa kwa maamuzi ya mezani kama Simba Koko.Ni mume wako anayekurandua marinda pole sana
Kuna wakati hii timu ya sokoni ilitaka kushuka daraja, ikabidi FAT ifanye mipango kuinusuru. Ndio haya unayoyaona leo, bila saa 72 Forum, Simba hapandi ndege tena. Mpira wa uwanjani ndio ule uliouona KaitabaKweli mtani nyani haoni kundule na umesema vzr hpo juu "kamati ilipitisha sheria ya mchezaji kuchagua mechi ya kukosa" so naomba ss tumuache Fakhi nae achague mechi ya kukosa km alivyofanya Ajibu kipindi kleeeeee au umesahau mtani nkukumbushe? yaani tufanye tu kwamba kweli Fakhi ana kadi 3 ila tumuache achague kwa mujibu wa sheria hyo ya Simba tuiache aliichagua kuicheza alikuwa na shughuli maalumu na wana simba mechi ijayo ataikosa tatzo lko wp? kwan mechi zimeisha?
kweli umetoka pabayaHayo mengine mimi hayanihusu, naomba tu nikujibu hili moja ambalo angalau lina maana. Kwani wewe hujui kuwa YANGA ndio MUME wa hapa Tanzania?
Njoo klabuni uone trophy cabinet yetu imechafukaje
ndio utumbo gani huuHivi mikia huwa mnaishia darasa la nne?
Jifunze kuandika kisha uje kuwakosoa Yanga