Yanga wanachokilalamikia hata sikioni

*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars

Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
 
Ushauri wa bure... Ligi ya bongo ikabidhiwe kwa kampuni binafsi iiendeshe.. Tff imeshindwa..
 
Maneno meeeeengi wakati mabao mmepigwa uwanjani.

Soka likiwashinda mnalialia as if Kagera wamechezesha watu 12
 
Wazungu kiswahili kinawasumbua sana, kuna jamaa alimwambia mzungu " Yanga wa kimataifa" sasa mzungu kwa vile kiswahili shida akasema " ooh janga la kimataifa"
Simba na Yanga ndio wanaoua mpira wa Tanzania
 
Jengo la Yanga full viyoyozi! La Simba mhhhhhhhhhhh,, kazi yipooooo!!
Hilo jengo la karume family na kama unabisha weka hati mezani yanga pale mmesaidiwa tu mnaruhusiwa kupaka rangi tu pale na za chama zinazobaki kipinde cha kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…