Yanga wanadaiwa Tsh ngapi na BMT?

Ni rahis kuifungia azam na watoto wenzake ila sio baba wa soka Tanzania miamba hii miwili ya yanga na simba
 
Jambo hili linataka kuficha jambo la kisiasa.unataka kunambia wameshndwa kuwatumia barua.
Wakili katoa taarifa kwa maana ya kwamba wadaiwa wanayo barua Ila hawataki kulipa.

Taarifa hii inamsaidia mdau yeyote kujua kuwa wadaiwa hawajalipa deni hivyo hatua za kisheria zikichukuliwa wadau wasiwe na sababu ya kuilaumu BMT kwa hatua itakazo zichukua.

Hekima ni wadau kuwauliza wadaiwa kuwa je ni kweli hawajalipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…