Yanga wanadaiwa Tsh ngapi na BMT?

Yanga wanadaiwa Tsh ngapi na BMT?

Wakili katoa taarifa kwa maana ya kwamba wadaiwa wanayo barua Ila hawataki kulipa.

Taarifa hii inamsaidia mdau yeyote kujua kuwa wadaiwa hawajalipa deni hivyo hatua za kisheria zikichukuliwa wadau wasiwe na sababu ya kuilaumu BMT kwa hatua itakazo zichukua.

Hekima ni wadau kuwauliza wadaiwa kuwa je ni kweli hawajalipa?
Huyo aliendaa hiyo taarifa ni msaliti/mhaini.
Watu wapo kwenye maandalizi ya kuliheshimisha taifa yeye analeta usengerema saa hizi kuwatoa kwenye focus.
 
Back
Top Bottom