Yanga wanaendesha Timu yao kienyeji sana

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Yanga wanaendesha Timu yao kienyeji sana

1. Picha ya Hersi na Morrison haimanishi chochote Pengine walishika makaratasi matupu yasiyo na maandishi Kwani ile mifano ya check wanazopigaga pivha makampuni zinakuwaga ni check halisi mfano tu

2. Hersi si Kiongozi wa yanga Kiongozi yupi wa yanga aliiwakilisha yanga kusaini mkataba na morrison

3. watuwekee mkataba halisi kuondoa mzozo au wewe kayika hiyo picha unaona maandishi?

4. Nguo wanazovaa offivials wa yanga zina nembò ya gsm pekee huo ni weledi wa wapi hebu angalia mfano hyo fulana anapohijiwa morrison na saleh jembe fulana hyo ina nembo ya gsm tu na officials wa yanga wote wanavaaa sasa huyu ni mchezaji wa yanga au wa gsm


Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1487545View attachment 1487546
 
Rubbish
 
We ndo unajua Leo, pale viongozi wapo tu majina lkn kiutendaji ni gsm ndo kila kitu
 
Hyo timu inatia AIBU.
yaani bora liende kila mtu anafanya lake hakuna utaratibu haina tofauti na timu za mtaani.
GSM ndo wanaiua yanga.
Uliona wapi adidas ikamsajili mchezaji na kumpeleka kwenye timu?
 
Eti kwa kumtisha Morison wamempiga fain 1.5 miln, Sasa hapa mie naona kama wanataka kukuza mgogoro na mchezaji badala ya kuumaliza! Waache kutisha wachezaji, viongozi watimize wajibu wao ipasavyo na kwa kuzingatia sheria! Wanadai waliweka kipengele cha kuongeza mkataba, sasa ndo muongeze kinyemela bila ridhaa ya mchezaji??..Hapo watahangaika na vyombo vya habari lakini mwishowe jamaa atawabwaga tu!
 
Ningekuwa mchezaji mpira nisingekubali kuchezea yanga hata kama wangenilipa 500million au zaidi kwa wiki!
 
Eti ndio maana waemeenda kuwaalika mashabiki wa La Liga waje kuwasaidia kuendesha Klabu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…