Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

Sema uzuri ni Kwamba 5imba wakivaa zile jezi wakiwa mbali ...... inaonekana ni wananchi [emoji23]
Walijisajili kuwa wananchi bila kujua. Ilikuwa mpaka usome UBUNTU ndo unajua kuwa huyu ni KOLO au IHEFU au mwenzao wa goli 5.

BTW, wote waliofungwa 5 na Yanga, waanzishe group la whatsApp na admin awe 5imba
 
Wewe Laban ndiye unaongoza kwa threads za kuisema Simba
 
Mbumbumbu FC.
 
Kwakweli mm kama mwanasimba siwezi kuacha kuizungumzia Yanga na nilifurahi na mpaka sasa nina furaha kubwa baada ya Uto kutolewa robo fainali klabu bingwa hatua ambayo hapo awali walidhani ni rahisi tu kufika na kupita cha ajabu wameishia kucheza mechi 2 dk 180 bila kufunga hata goli la offside na hapo wanakuambia wapo na kikosi bora
Kuficha aibu waliyoipata wakaja na kichekesho cha karne eti kuandika barua Caf wakitaka kosakosa ya mchezaji wao Aziz Ki iwe goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…