Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

Yanga wanaizungumzia Yanga, Simba wanaizungumzia Yanga

MASHABIKI WA SIMBA SC MKO WAPI?

Yanga wanaizungumzia Yanga na Simba wanaizungumzia Yanga.

WanaYanga wameonesha kuumizwa sana kwa Yanga yao kutolewa.

WanaSimba wanaonesha kufurahi sana na hata kukejeli kwa Yanga kutolewa.

Sijaona mwanaSimba anayeonesha kuumizwa na kutolewa kwa Simba, labda wamezoea.

Sijaona MwanaYanga anayeonesha kufurahia kutolewa kwa Simba, kwao sio kitu muhimu.

Dalili zilionekana hata kabla ya mechi ya kwanza, wote mkawa mnazungumzia mechi moja; Young Africans Sports Club vs Mamelodi Sundowns FC
Yanga wakaambiwa wataoga magoli
Video za Masandawana zikasambaa
Mashabiki wa Simba, KMC, Ihefu na wote waliowahi kupigwa goli 5 na Yanga, wakawa mashabiki wa Mamelodi.
Lakini Simba haijaaibika,
Kufungwa nyumbani si aibu,
Kufungwa tena mechi ya marudiano si aibu, Ndio maana mashabiki hawazungumzi chochote.

Mlisema Al Ahly ya msimu huu ni mbovu, wakawafunga nje ndani, nayo hio sio aibu kwenu.

Wanyakyusa tuna msemo unasema;
"Japo wametufunga lakini chenga tumewala!"
Najiuliza; Mtoto wako akileta matokeo mabovu ya mtihani huku akiwa na furaha usoni, kisa eti mtoto wa jirani amefeli, huyo mtoto utambadilisha na ng'ombe au ng'uruwe?

Je hii kitaalamu inaitwaje?
Nawasilisha!View attachment 2961285
Kuna ban huko FIFA 😀 😀
 
Jezi zao tulizinunua na kazi tuliyoitaka watufanyie wakaifanya tena hawakutumia hata ganzi maana iliacha maumivu makubwa sana kwa watani zetu
Saizi wakivaa wanaonekana ni wananchi
 
1706701034523.jpg

Kiongozi wao
 
Back
Top Bottom