Kama nikweli Basi hao viongozi wa yanga watakuwa wameshikiwa akili na huyo mzungu pori,Wakuu salaam,
Uongozi wa yanga, unajiandaa kumfungulia mashitaka rais wa tff kwenye kamati ya maadili muda wowote kuanzia kesho kwa matamshi yake ya kuwatukana na kuwadhalilisha.
naisubiria kwa hamu hii kesi ili nione kama kamati ya maadili watamuadhibu boss wao/wataufyata.
huu ni mtego hatari kwa karia na kamati yake, mashahidi ni walokuwepo.Kama nikweli Basi hao viongozi wa yanga watakuwa wameshikiwa akili na huyo mzungu pori,
sasa huo ushaidi watakuwanao wa hayo matusi ya Karia?
Utopolo wameshikiwa akili na manara
Kama na nyinyi mlivyoshikwa masikio na Mudi wa Bombay!Yanga wameshikiwa akili na mzungu wa Nguruka.
Mkuu, inafahamika kuwa na wewe ni MWANANCHI kindakindaki. Sasa je, na wewe unakubaliana na hili?Kama na nyinyi mlivyoshikwa masikio na Mudi wa Bombay!
Heri ya Mudi ana mpunga wa kueleweka na ni mwekezaji tofauti na zeruzer hohehahe halafu anawashikia akili.Kama na nyinyi mlivyoshikwa masikio na Mudi wa Bombay!
Wewe ni ME au KE?OUT OF TOPIC.
Nilikuwa naangalia mazoezi ya wachezaji wa Simba Sc wakiwa jim (gym), sasa Matola katika kupita pita akauona mkono wa Okrah aliekuwa anafanya tizi la ku-pull kamba kutoka juu kushusha chiniππ, jamaa akadata kwa jinsi mwamba alivyojaza.
Akaushika shika akaishia kusema "AAAHπ³π³π³"
ππππ
Mimi na Haji Manara wapi na wapi! Sema ukubwa wa adhabu ndiyo umechangia kumuamsha hayo mashetani yake. Na kupitia huruma ya baadhi ya Watanzania, basi umaarufu wake unazidi tu kuongezeka.Mkuu, inafahamika kuwa na wewe ni MWANANCHI kindakindaki. Sasa je, na wewe unakubaliana na hili?
Ushahidi wanao? Au nao waliambiwa tu na albino kwamba Yanga imetukanwa?huu ni mtego hatari kwa karia na kamati yake, mashahidi ni walokuwepo.