Yanga wanajiandaa kumpeleka Kamati ya Maadili Rais wa TFF kwa kuwatukana hadharani

Yanga wanajiandaa kumpeleka Kamati ya Maadili Rais wa TFF kwa kuwatukana hadharani

Manara ni kama mfa maji anatapatapa kwa kuropoka neno lolote mradi ajiokoe na balaa lililomkuta, ameshajua ndio anazama hivyo, hayo maneno ya kutunga Manara shahidi wake nani?

Kama ningekuwa Kamati ya Maadili TFF ningemrudisha Manara kizimbani kwa kusema uongo juzi, ningehakikisha namchinjia baharini miaka mingine miwili nimpotezee mbali kabisa.
manara ana upuuzi wake bt katika hili kaonewa, wote walokuwepo kwenye jukwaa lile wanajua karia ndo mkorofi, tff wameiendesha haraka na kihuni kesi hii bila kuwashirikisha mashuhuda ili kuinusuru tff na aibu ya karia.
 
Kabikera sna na kauli yake ya kubadilisha press na kuanza kututukna eti karia amesema ss yanga Ni vinyesi sijapenda hi kauli aliyombabmbikiza mbaya wake kwetu cc
 
Manara akishashikwa pabaya anaanza kueneza propaganda ambazo zinawahusu watu wengine, Hilo swala la vinyesi amelisema ili mashabiki wa yanga wamuunge mkono na waichukulie hii kama vita yao huku kiuhalisia ni vita yakwake mwenyewe.

Huyu jamaa ukimchekea ataiharibu Sana tasnia ya mpira hapa nchini. Ni kufungia maisha tu...anachojivunia anao mambulula ambao hawajielewi hawawezi kureason wanaompa support
Manara hafai. Anajifanya anaujua sana mpira.
Huyo afungiwe maisha afe njaa
 
Manara akishashikwa pabaya anaanza kueneza propaganda ambazo zinawahusu watu wengine, Hilo swala la vinyesi amelisema ili mashabiki wa yanga wamuunge mkono na waichukulie hii kama vita yao huku kiuhalisia ni vita yakwake mwenyewe.

Huyu jamaa ukimchekea ataiharibu Sana tasnia ya mpira hapa nchini. Ni kufungia maisha tu...anachojivunia anao mambulula ambao hawajielewi hawawezi kureason wanaompa support
Mkuu kwenye ushabiki wa mpira swala matusi kuepukika ni ngumu ndio maana tunashauri usiangalie mpira na mtu unayemuheshimu kama hajui character's za mpira anyway manara anaweza kuwa na makosa lakini adhabu aliyopewa ni kumkomoa TFF wariview sera, kanuni na taratibu zao zina mapungufu mengi sana
 
Amewashika nyinyi ambao kwa sasa mkiamka asubuhi mpaka jioni mnamzungumzia yeye tu.
kwa sasa mikia wanamuogopa sana manara kuliko hata wachezaji wanaoingia uwanjani ndo maana wamelivaa hili kupitiliza, wanasahau kua kufungiwa manara hakutapunguza kuwapelekea moto kama ilivokua msimu jana.
 
Kama nikweli Basi hao viongozi wa yanga watakuwa wameshikiwa akili na huyo mzungu pori,

sasa huo ushaidi watakuwanao wa hayo matusi ya Karia?
Kama ushahidi wa matusi ya manara Upo basi matusi ya karia utakuwepo maana walikuwa wanasemezana

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom