Weka hapa hizo kanuni ambazo hazijasajiliwaMwanaume sio kutulia mwanaume harakati angetulia wewe ungefahamiana wapi kama kanuni azijasajiliwa ungefahamia wapi kama wahuni wale wanaficha nakala ya hukumu
Mwanaume kupigania unacho amini kutulia n kwa wanawake na wanaume goi goi
Mataahira ya uto yamemeza ule uharo wote alioharisha jana yule mvuta bangi wao. Haya majitu mapumbavu mno.Weka hapa hizo kanuni ambazo hazijasajiliwa
Anapigania nini mbona anajiliza mara barabra kafanya hivi na yeye anavaa khanga?
Leo ndio mnajua kua yanga ni club kubwa na yenye hadhi? Viongozi wa simba wanatozwa faini ya laki tano tano na hawafungiwi miaka mingi... ila haji faini milion 20 na miaka 2!! Halafu mnacheka kwakua amekomolewa na mnataka yanga ikae kimya? Hapana hapana.Inasikitisha sana kuwa club kubwa na yenye hadhi kama Yanga kuingia kwenye mtego wa kutetea upunguani wa Haji Manara. Huyu mtu ni mwongo,mwizi,mkororofi,mtukanajj,mgomvi,hana adabu,mlevi na mvuta bangi.
TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA
Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:
(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;
(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF ambayo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.
Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.
Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;
(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;
(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.
Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na
(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.
Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.
Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.
Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.
Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?
Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.
Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Hahaha wewe jamaa unaongea kwa uchungu unafikiri umedhulumiwa mke? Hebu punguza mihemko isiyo ya lazima kutafuta Ugali kwa manara kusikuharibie siku. Kweli uto aka vinyesi fc hamnazoLeo ndio mnajua kua yanga ni club kubwa na yenye hadhi? Viongozi wa simba wanatozwa faini ya laki tano tano na hawafungiwi miaka mingi... ila haji faini milion 20 na miaka 2!! Halafu mnacheka kwakua amekomolewa na mnataka yanga ikae kimya? Hapana hapana.
Vinyesi fc[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo ndio mnajua kua yanga ni club kubwa na yenye hadhi? Viongozi wa simba wanatozwa faini ya laki tano tano na hawafungiwi miaka mingi... ila haji faini milion 20 na miaka 2!! Halafu mnacheka kwakua amekomolewa na mnataka yanga ikae kimya? Hapana hapana.
TFF NA 'KICHEKESHO' CHA SAKATA LA HAJI MANARA
Mbali na mambo mengine katika sakata hilo, bado pia kuna mengine ambayo ni pamoja na haya yafuatayo:
(1) Katika Kanuni zote za adhabu za TFF, hakuna hata moja ya kumtoza mtu shilingi milioni 20;
(2) Katika mashtaka yale, mlalamikaji alipaswa awe Wallace Karia mwenyewe na siyo Sekretarieti ya TFF amba
Kanuni zinasema faini isiwe chini ya 3Myo ndiyo inailipa posho zote Kamati ya Maadili, hivyo lazima itekeleze maelekezo inayoielekeza kama mwajiri.
Hapa kwa tafsiri nyingine, mlalamikaji hakuwa Karia ila Sekretarieti ya TFF ambayo haijasema inahusikaje na ugomvi wa Manara na Karia wala kuwa ina maslahi gani na malumbano hayo, hasa pale ambapo yule anayedaiwa kudhalilishwa hakulalamika.
Mwisho katika hili, kwa vile Kamati ya Maadili inalipwa posho zote za shughuli zake na Sekretarieti ya TFF zikiwemo za kusikiliza mashtaka, hapa maana yake ni kwamba yenyewe ndiyo iliyokuwa mlalamikaji, shahidi wa upande wa mashtaka na hakimu aliyetoa hukumu hiyo;
(3) Karia aliyepaswa awe ndiye shahidi mkuu wa upande wa mashtaka, kisha wengine wote wabaki kuwa mashuhuda, lakini hakuitwa wala kufika ili kutoa ushahidi wake;
(4) Kamati ya Maadili ya TFF haijasema chanzo cha Manara kufanya hivyo wala haijataja mashahidi waliofika mbele yake ili kutoa ushahidi wao dhidi ya Manara.
Hii ni kwa sababu, inawezekana Manara alikuwa anajihami au kujibu mapigo baada ya kuchkozwa, kutukanwa au kudhalilishwa kwanza na Karia; na
(5) Kwa mujibu wa Sheria za TFF, anayefikishwa katika Kamati ya Maadili kwa masuala ya soka ni kiongozi wa kuchaguliwa wa Klabu, Chama cha Soka cha ngazi yoyote, chombo cha Shirikisho la Soka au mwenye nafasi ya kuteuliwa iliyopo kwenye muundo wa Shirikisho la Kandanda Duniani au FIFA.
Nafasi ya "Mhamasishaji" kama aliyonayo Manara haipo katika muundo wa FIFA, hivyo anaweza tu kuwa ni shabiki wa Yanga ambaye hawezi kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF ila mahakamani kama alimdhalilisha Karia.
Alipaswa ashtakiwe Kituo cha Polisi na Karia mwenyewe, kisha apelekwe mahakamani kama mtu binafsi na mlalamikaji akawe shahidi wa Jamhuri kama mtu binafsi na siyo kama Rais wa TFF.
Katika kutekeleza mfumo na muundo wa FIFA, Yanga yenyewe ina Afisa Habari wake, Hassan Bumbuli. Huyo ndiye anaweza kushtakiwa katika Kamati ya Maadili ya TFF.
Kutokana na hali hiyo na hata vinginevyo, swali linalozuka hapa ni je, tangu lini Manara ni kiongozi wa kuchaguliwa au afisa wa kuteuliwa wa Yanga kwa kuzingatia muundo wa FIFA?
Ni cha kujifunza hapa na kukishika kila mshabiki na kukipigia kelele siku zote hadi Manara atakapoachiwa huru ni wajibu ni kwa nini mashabiki au shabiki anaporusha chupa ya maji uwanjani inaazibiwa klabu na si mhusika why Manara ahukumiwe kama yeye wakati anaipigania timu.
Kesi hii tutashinda kabla ya tar.6.8.2022.Tumuombe Mungu
Kanuni ambazo hazijasajiliwa ndio hizo hizo zilizotumika kuendeshea lihi mpaka Yanga inachukua ubingwaMwanaume sio kutulia mwanaume harakati angetulia wewe ungefahamiana wapi kama kanuni azijasajiliwa ungefahamia wapi kama wahuni wale wanaficha nakala ya hukumu
Mwanaume kupigania unacho amini kutulia n kwa wanawake na wanaume goi goi
Shafii daud akafungiwa miaka mitano unaelewa kosa lake?Leo ndio mnajua kua yanga ni club kubwa na yenye hadhi? Viongozi wa simba wanatozwa faini ya laki tano tano na hawafungiwi miaka mingi... ila haji faini milion 20 na miaka 2!! Halafu mnacheka kwakua amekomolewa na mnataka yanga ikae kimya? Hapana hapana.
kama sheria inasema hivo mangungu aliewatukana tff ilikuwaje akalipa laki 5?Kanuni zinasema faini isiwe chini ya 3M
Sasa kisheria ni kwamba angelipishwa faini ya 2M alikuwa ana haki ya kusema sheria zimevunjwa
Manara akishashikwa pabaya anaanza kueneza propaganda ambazo zinawahusu watu wengine, Hilo swala la vinyesi amelisema ili mashabiki wa yanga wamuunge mkono na waichukulie hii kama vita yao huku kiuhalisia ni vita yakwake mwenyewe.
Huyu jamaa ukimchekea ataiharibu Sana tasnia ya mpira hapa nchini. Ni kufungia maisha tu...anachojivunia anao mambulula ambao hawajielewi hawawezi kureason wanaompa support
Aiseeh kwahiyo unakubali kuwa mmeshikiwa akili na Manara?Kama na nyinyi mlivyoshikwa masikio na Mudi wa Bombay!
Kama nimeongea kwa uchungu basi wewe ongea kwa usufuria.Hahaha wewe jamaa unaongea kwa uchungu unafikiri umedhulumiwa mke? Hebu punguza mihemko isiyo ya lazima kutafuta Ugali kwa manara kusikuharibie siku. Kweli uto aka vinyesi fc hamnazo
Umeolewa?Vinyesi fc[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye hukumu iliyotolewa na kamati ya maadili, nioneshe tusi alilotukana Haji?Shafii daud akafungiwa miaka mitano unaelewa kosa lake?
Alikosoa mkataba ule wa GSM hilo nfio kosa
Hapo hajatukana
Manara alitukana na sio kutukana tu bali alimtukana raisi wa shirikisho
Lakini pia licha ya kutukana alimtishia (criminal threats)
Hata wewe utaelewa kwanini kumtusi bro na kumtusi faza hakuwezi kuwa na uzito sawa
Kingine cha ziada
Inamaana Manara alitoa lugha ya matusi kwa kujiamini atalipa faini ya laki 5 na mambo yataendelea na ndio maana alikuwa na kiburi?
Club ina hadhi lakini wanachama na washabiki ndiyo wapumbavu kupitiliza na wewe ndiyo kielelezo. Yaani watopolo nyie ni wapumbavu sanaLeo ndio mnajua kua yanga ni club kubwa na yenye hadhi? Viongozi wa simba wanatozwa faini ya laki tano tano na hawafungiwi miaka mingi... ila haji faini milion 20 na miaka 2!! Halafu mnacheka kwakua amekomolewa na mnataka yanga ikae kimya? Hapana hapana.
Hawa sope kawashika akili na makalio kabisaAiseeh kwahiyo unakubali kuwa mmeshikiwa akili na Manara?
[emoji23]
Kwani mama zako hao Tff wanao ushahidi wa Manara kumtukana karia mashine??Kama nikweli Basi hao viongozi wa yanga watakuwa wameshikiwa akili na huyo mzungu pori,
sasa huo ushaidi watakuwanao wa hayo matusi ya Karia?