Yanga wanajiandaa kumpeleka Kamati ya Maadili Rais wa TFF kwa kuwatukana hadharani

manara ana upuuzi wake bt katika hili kaonewa, wote walokuwepo kwenye jukwaa lile wanajua karia ndo mkorofi, tff wameiendesha haraka na kihuni kesi hii bila kuwashirikisha mashuhuda ili kuinusuru tff na aibu ya karia.
 
Kabikera sna na kauli yake ya kubadilisha press na kuanza kututukna eti karia amesema ss yanga Ni vinyesi sijapenda hi kauli aliyombabmbikiza mbaya wake kwetu cc
 
Manara hafai. Anajifanya anaujua sana mpira.
Huyo afungiwe maisha afe njaa
 
Mkuu kwenye ushabiki wa mpira swala matusi kuepukika ni ngumu ndio maana tunashauri usiangalie mpira na mtu unayemuheshimu kama hajui character's za mpira anyway manara anaweza kuwa na makosa lakini adhabu aliyopewa ni kumkomoa TFF wariview sera, kanuni na taratibu zao zina mapungufu mengi sana
 
Amewashika nyinyi ambao kwa sasa mkiamka asubuhi mpaka jioni mnamzungumzia yeye tu.
kwa sasa mikia wanamuogopa sana manara kuliko hata wachezaji wanaoingia uwanjani ndo maana wamelivaa hili kupitiliza, wanasahau kua kufungiwa manara hakutapunguza kuwapelekea moto kama ilivokua msimu jana.
 
Kama nikweli Basi hao viongozi wa yanga watakuwa wameshikiwa akili na huyo mzungu pori,

sasa huo ushaidi watakuwanao wa hayo matusi ya Karia?
Kama ushahidi wa matusi ya manara Upo basi matusi ya karia utakuwepo maana walikuwa wanasemezana

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…