Hamna mwanasimba anayewaza hii mechi maana ni kama mechi za kawaida tu.Yaani Yanga hii derby wanavyopigia kelele hadi kero wakati Simba wanachukulia kawaida tu kama mechi ya Mbeya Kwanza au Prison .
Hamna mwanasimba anayewaza hii mechi maana ni kama mechi za kawaida tu,Ila hawa yanga wanavyotangaza unaona kabisa hawaamini kukutana na Simba wanaocheza kimataifa
Naelewa wakati mnaopitia kwasasa ila hakuna namna njooni uwanjani tuwapigie pira la kufa mtuMiluzi mingi humpoteza mbwa ,tukutane baada ya mechi kesho
mmejiamini sana derby hii ya kesho kwamba mpo vizuri na kuiona Simba dhaifu ,huwa inaeleweka kwenye derby ya kariakoo anayejiamini anakalishwa ,trust me lolote laweza kutokea Yanga wakafungwaNaelewa wakati mnaopitia kwasasa ila hakuna namna njooni uwanjani tuwapigie pira la kufa mtu
Timu yote ya simba ni ya wavunja kunimmejiamini sana derby hii ya kesho kwamba mpo vizuri na kuiona Simba dhaifu ,huwa inaeleweka kwenye derby ya kariakoo anayejiamini anakalishwa ,trust me lolote laweza kutokea Yanga wakafungwa
Haya wewe matokeo si unayoKesho yanga anakufa kwa namna yoyote ile na ndio utakua mwisho wa kelele zao mitandaoni.
Naona manara akimaliza mwaka vibaya na lile Domo lake sijui atakua anaandika Nini huko istagram