Yanga wanakosa DNA ya michuano ya kimataifa

Yanga wanakosa DNA ya michuano ya kimataifa

Kwa hiyo mnataka yanga ashinde 50 au, hizo 4 mnasema sijui yanga Hana moto Kama Simba,nafikiri humu tunapishana ubongo,upeo na elimu ,in short akili ndogo hauwezi kuongoza au kuelekeza akili kubwa,
Kila unachofukiri Basi unaposti, jifikirishe kwanza ktk mindset yako before posting
 
Huu uzi mashabiki wa Yanga hoya hoya ni ngumu kuuelewa, ila mkifikia hatua ya kuaga mashindano halafu mtani wako anasonga mbele ndipo utaweza kutumia akili. Saivi ushabiki ndio unaowaogoza
 
MAKOLO NI MAKOLO TU

Kwani ninyi mmewahi kufanya nini kimayaifa zaidi ya kuroga pale S.A?

Hamna mafanikio yoyote kimataifa huwa mnaenda kusindikiza wenzenu
Kufanikiwa kumbeba utopolo kimataifa ni heshima kubwa sana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kwasababu ya mafanikio ya simba au unataka mapaka wabebe kombe.
 
Kufanikiwa kumbeba utopolo kimataifa ni heshima kubwa sana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kwasababu ya mafanikio ya simba au unataka mapaka wabebe kombe.
Tumia akili yako vizuri, Yanga kaingia huko kwa nafasi yake kama bingwa wa ligi ya nyumbani na wala hajabebwa na hao makolo.
 
Nadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
Real Madrid mbovu ipi unayo izungumzia
 
Kufanikiwa kumbeba utopolo kimataifa ni heshima kubwa sana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kwasababu ya mafanikio ya simba au unataka mapaka wabebe kombe.
Kambebeni Coastal Union nyie si mnajua kubeba watu
 
Mtu anayebisha huu ukweli ni mjinga.

Simba;
1. Fainali CAF (1993)
2. Nusu fainali Club bingwa (1974)
3. Robo fainali zaidi ya 5
4. Makundi- kawaida ( daily)
5. Ipo kwenye top 15 ya timu bora Africa.

* Utopolo;
1. Fainali- Hakuna ( Mungu akipenda mwaka 3000)
2. Nusu fainali - hakuna
2. Robo fainali -2
3. Makundi- wanapigwa kama ngoma na mara zote wanakuwa wa mwisho kwenye kundi
4. Ipo nafasi ya 75 ya timu bora Africa
*Wazee wa utopox hawapendi data maana zinawaumbua
 
Nadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
Real Madrid huwa inachukua kombe
Sasa Simba inachukuaga nini kwenye klabu bingwa?
 
Wao wanawaza watapata mganga gani wa bei rahisi next mechi na simba sc ili wawafunge nyingi na kikosi anapanga mganga.
Hili la Waganga ungekaa kimya tu kwa timu za Tanzania. Simba wana mganga kijiji cha Ntalamila wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa. Just imagine Dar to Rukwa kusaka Waganga?
 
Hili la Waganga ungekaa kimya tu kwa timu za Tanzania. Simba wana mganga kijiji cha Ntalamila wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa. Just imagine Dar to Rukwa kusaka Waganga?
Mechi ya simba na yanga kikosi cha yanga kinapangwa na mganga just imagine
 
Timu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.

Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.

Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo
Hatimae maneno yako yanatimia
 
Wenye DNA baada ya kuitafuta draw kwa torch tena kwa kuchomoa,tuliwasikia.

Mara oohh.
Timu hamna.......wachezaji hawajitumi........Matola aende hatumtaki........?

Vip leo.
Timu mnayo au bado hamna?

Matola abaki au aende?

Au timu hamna ila DNA mnayo?
Utopolo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Washabiki wenzangu wa Yanga kukubali ukweli ni bora zaidi ili tujifunze kuliko kujifanya tunajua wakati timu yetu kwenye kimataifa tunatia aibu.
 
Back
Top Bottom