Huu uzi mashabiki wa Yanga hoya hoya ni ngumu kuuelewa, ila mkifikia hatua ya kuaga mashindano halafu mtani wako anasonga mbele ndipo utaweza kutumia akili. Saivi ushabiki ndio unaowaogozaKwa hiyo mnataka yanga ashinde 50 au, hizo 4 mnasema sijui yanga Hana moto Kama Simba,nafikiri humu tunapishana ubongo,upeo na elimu ,in short akili ndogo hauwezi kuongoza au kuelekeza akili kubwa,
Kila unachofukiri Basi unaposti, jifikirishe kwanza ktk mindset yako before posting
Kufanikiwa kumbeba utopolo kimataifa ni heshima kubwa sana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kwasababu ya mafanikio ya simba au unataka mapaka wabebe kombe.MAKOLO NI MAKOLO TU
Kwani ninyi mmewahi kufanya nini kimayaifa zaidi ya kuroga pale S.A?
Hamna mafanikio yoyote kimataifa huwa mnaenda kusindikiza wenzenu
Tumia akili yako vizuri, Yanga kaingia huko kwa nafasi yake kama bingwa wa ligi ya nyumbani na wala hajabebwa na hao makolo.Kufanikiwa kumbeba utopolo kimataifa ni heshima kubwa sana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kwasababu ya mafanikio ya simba au unataka mapaka wabebe kombe.
Real Madrid mbovu ipi unayo izungumziaNadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
Kambebeni Coastal Union nyie si mnajua kubeba watuKufanikiwa kumbeba utopolo kimataifa ni heshima kubwa sana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne Caf champions league kwasababu ya mafanikio ya simba au unataka mapaka wabebe kombe.
Real Madrid huwa inachukua kombeNadhani hujamuelewa, Anachosema Real Madrid hata ikiwa na team mbovu na inafanya vibaya kwenye LA Liga, lakini team hiyo hiyo ikiingia kwenye champions league inafanya maajabu. Ni hivyo tu. The same scenario applies to Simba. Kuna ulinganifu hapo?
Sijasema msimu huu ww nguruwe poriTumia akili yako vizuri, Yanga kaingia huko kwa nafasi yake kama bingwa wa ligi ya nyumbani na wala hajabebwa na hao makolo.
Hili la Waganga ungekaa kimya tu kwa timu za Tanzania. Simba wana mganga kijiji cha Ntalamila wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa. Just imagine Dar to Rukwa kusaka Waganga?Wao wanawaza watapata mganga gani wa bei rahisi next mechi na simba sc ili wawafunge nyingi na kikosi anapanga mganga.
Mbona mnaitana nguruwe pori?Sijasema msimu huu ww nguruwe pori
Mechi ya simba na yanga kikosi cha yanga kinapangwa na mganga just imagineHili la Waganga ungekaa kimya tu kwa timu za Tanzania. Simba wana mganga kijiji cha Ntalamila wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa. Just imagine Dar to Rukwa kusaka Waganga?
That's why I said there is no comparison. Did I?Real Madrid huwa inachukua kombe
Sasa Simba inachukuaga nini kwenye klabu bingwa?
Hatimae maneno yako yanatimiaTimu ya Yanga inakosa bahati ya michuano ya kimataifa hata wapangiwe vibonde vya namna gani wanakuwa wana struggle tofauti na Simba.
Simba wanaelekea kuwa kama real madrid na uefa champions league hata timu iwe mbovu vipi lakini kwenye uefa champions league wao ni habari nyingine.
Yanga wanapaswa kufanya kazi za ziada mno kujiimalisha katika michuano hiyo
Unasemaje sasa[emoji23]Jitutumueni mnavyo weza ila mpira ni uwekezaji. Mpira auna DNA au Umaarufu, kama ukuwekeza vya kutosha utapigwa kama ngoma.
Utopolo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Wenye DNA baada ya kuitafuta draw kwa torch tena kwa kuchomoa,tuliwasikia.
Mara oohh.
Timu hamna.......wachezaji hawajitumi........Matola aende hatumtaki........?
Vip leo.
Timu mnayo au bado hamna?
Matola abaki au aende?
Au timu hamna ila DNA mnayo?
Haiuzwi ila inapatikana kwa kujifunza mengi kutoka kwa Simba Sc.DNA inauzwa wapi?