Yanga wanakosa DNA ya michuano ya kimataifa

Rungu la caf,

Huku barbara akiwa kwenye kikao hicho hicho
 
MAKOLO NI MAKOLO TU

Kwani ninyi mmewahi kufanya nini kimayaifa zaidi ya kuroga pale S.A?

Hamna mafanikio yoyote kimataifa huwa mnaenda kusindikiza wenzenu
Mtanzania anayetumia akili yake kufuatilia mpira hawez kubeza mafanikio ya simba kimataifa

1. Azam na geita wameshiriki mashindano ya kimataifa kwa kigezo kipi na kilipatikanaje?

2. Azam wameanzia raundi ya kwanza na sio hatua ya awali kwa kigezo kipi na kilipatikanaje?

3. Simba wenyewe mwaka huu wameshiriki klab bingwa kwa kigezo kipi na kilipatikanaje?

4. Simba hatua ya awali na hii raund ya kwanza zote wameanzia ugenini kwa kigezo kipi na kilipatikanahe?

5. Nchi ilitajwa kwenye tuzo zq afrika msimu uliopita kwa mchezaj wa ligii kutwaa tuzo ya goli bora, alitokea timu gan?

Kwenye mpira kuna ushabiki wa timu na kuna ushabiki wa timu na mpira, mashabiki wa timu mara nyingi mashabiki wa timu hawanaga akili ukilinganisha na mashabiki wa timu na mpira
 
Nabi ni mbovu kwenye mechi za kimataifa. Ana panga ki kosi uta dhani ana cheza mechi za Ligi na Mbeya City au Singida Big Stars. Hizi Game za CAF ni za mtoano. Hakuna kulemba. Ali takiwa , aanze na Joyce Lomalisa badala ya Jesus Moloko. Pia, ange mtoa kibwana Shomari hata dk ya 26 tu, kwani alipwaya aingie Bakari Nondo Mwamnyeto afu abadilidhe mfumo no na mbinu , wachezaji uwanjani kati ya Faisal na Aziz Ki. Pia aongeze, UKALI. Wachezaji wana lipwa mishahara minono kuliko watu wa Masters Degree, mil 7 hadi mil 15 ila hawajitumi, hawana fighting spirit, mpira wanao cheza hauna maajabu...ni sawa tu na mpira wa Polisi Tz. Aucho, Bangala, Aziz Ki, Jesus Moloko, Diarra, Kisinda, nk hawa wana cheza chini ya kiwango. Aziz Ki ana tabia ya kupooza sana mpira pale shambulizi linapo hitajika. Diarra ana zubaa sana golini na ni mvivu wa kufanya maamuzi hasa mipira ya kona ..hata yale Makosa ya goli la jana (kosa la Bangala), kipa (Diarra) angekuwa shapu, ange futa makosa ya beki kwa kufuata na ku udaka mpira juu hewani (ana tabia ya kubaki sana golini bila kufuata mipira juu kama alivyo kuwa ana fanya kipa wa Al Hilal). Faridi Mussa huwa ana kosa la kukosa Focus (ana mbio na anaweza kukokota mpira vizuri sanaaa ila either atoe cross mbovu au achelewe kutoa cross/pasi hana tofauti sana na Kibu Denis).

Mechi za Yanga hazina nguvu, pressure. Kocha ajaribu kuwachezesha mazoezi ya mpira wa Nguvu na Kasi kama Manchester City (ikiwezekana mazoezini wacheze dk 120).

Viongozi wa YANGA kuweni wakali. Wapeni Malengo wachezaji. Penalty ziwepo kwenye Mikataba ya mishahara zao kama Manchester United. Hela ya YANGA tuna hitaji kuona matunda yake. Kama ni wachezaji wa hivyo! Fukuzeni sajilini wa ndani ya nchi tu, hizo hela za Wadhamini tujenge uwanja wetu.

YANGA BADO INA NAFASI YA KUFUZU. KOCHA AACHE MASIHARA.
 
Nabi kichwa kigumu. Watu wanapiga kelele wee kuhusu Bangala achezeshwe kiungo mkabaji lakini yeye halielewi bado anaamini Aucho ni mkabaji. Timu lina ruhusu magoli ovyo ovyo hata kwa mbuni fc utegemee itoke na cleen sheet kwa timu ya Al Hilal

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Yanga ina maono kimo cha mbilikimo.. Maono yao ni mwisho ya uono kimo cha panzi.. Wao wamewekeza kumfunga SIMBA na si zaidi ya hapo
 
Mmesahau simbq ndo timu yenye makombe mengi overall hapa Tz?
 
Hili la Waganga ungekaa kimya tu kwa timu za Tanzania. Simba wana mganga kijiji cha Ntalamila wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa. Just imagine Dar to Rukwa kusaka Waganga?
Wewe umejuaje mpaka jina la Mganga wao?Inahitaji uwe mzoefu wa mambo haya hadi kuwafahamu kwa majina waganga na makazi yao.
 
Nilizungumza tokea mechi ya kwanza dhidi ya Zalan na mwisho wa safari ya Yanga kimataifa imetimia rasmi sasa. Pamoja na kupangwa na timu za kawaida bado kashindwa kufuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…