Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Average players, huwezi kuwa na wacheza judo kama kina Yasin, akiwa free utamwona bonge la mchezaji ila akipata presha kituko yan, mchezaji hata kupiga cross changamoto, alafu kaitwa timu ya taifa!Toka raundi ya pili imeanza, Yanga ameambulia point 7 kati ya 18 katika michezo 6 ambayo wamekwishacheza.
Simba tunaomba msitutanie kwenye hili, sisi Yanga tunakwama wapi jamaniiiii?View attachment 1719546
Kila mtu huvuna apandacho
Nadhani hili swali atalijibu Inji near heshi
Mitano tena Kwa mwakalabela etuuuuu!
Mmmh...Sio bure inawezekana ni mgomo baridi....kushinikiza mzee wetu Mwaka ang'oke.
Average players, huwezi kuwa na wacheza judo kama kina Yasin, akiwa free utamwona bonge la mchezaji ila akipata presha kituko yan, mchezaji hata kupiga cross changamoto, alafu kaitwa timu ya taifa!
Huyo ni mfano tu, kuna wachezaji wengine hata ball control utata, kama Fiston, nchimbi wana control chumba kizima, inaumiza sana yan!
Endeleeni kutengeneza timu watani huu ulikuwa sio msimu wakushindana ingieni sokoni leteni wachezaji wamaana beki waamaana kiungo washambuliaji 2/3 strike mmoja au wawili tena mapema muanze pre season mapema ikiwafaaa leteni coach msaidizi mzoefu kwa ligi ya ndani ila kwa caf sidhani kama kaze ni compitent kiivyo pia uongozi ongeezeeni nyama
Tunasubiria huu wakati ufike au tuendelee na shughuli nyingine tuu?Toka raundi ya pili imeanza, Yanga ameambulia point 7 kati ya 18 katika michezo 6 ambayo wamekwishacheza.
Simba tunaomba msitutanie kwenye hili, sisi Yanga tunakwama wapi jamaniiiii?
View attachment 1719546
Tayari ana tatu mpaka sasaTunasubiria huu wakati ufike au tuendelee na shughuli nyingine tuu?