Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Toka raundi ya pili imeanza, Yanga ameambulia point 7 kati ya 18 katika michezo 6 ambayo wamekwishacheza.
Simba tunaomba msitutanie kwenye hili, sisi Yanga tunakwama wapi jamaniiiii?
Simba tunaomba msitutanie kwenye hili, sisi Yanga tunakwama wapi jamaniiiii?