Labda hujamsikia Ally Kamwe msemaji WA YANGA.
Malengo ya yanga ni kucheza MAKUNDI CAFCL.
Haya mashindano ya wanaume ukitoka umefika.
HAKUNA KWENDA LOOSERS MWAKA HUU.
Mwaka jana hayo malengo hayakufikiwaMwaka jana ndo walisema ivo ivo lakini kilicho tokea unakijua mwenyewe
Mwaka Jana mliingia Caf championship nyie?!!!ya wapiii[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka jana ndo walisema ivo ivo lakini kilicho tokea unakijua mwenyewe
Kwani Yanga ilikuwa inakosa nafasi ya kushiriki CAF CL? Mbona imeshiriki kuliko timu zote nchini, ila mara zote inatolewa mapema? Inataka kufundisha au kufundishwa?Naamini yanga msimu huu wanakwenda kufundisha simba namna gani ya kuingia nusu final ya club bingwa
Mimi ni nani hata nikupingeNaamini yanga msimu huu wanakwenda kufundisha simba namna gani ya kuingia nusu final ya club bingwa afrika
Yanga naamini watafika nusu final
Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika
Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Umesoma title vizuri? [emoji16]Kwani Yanga ilikuwa inakosa nafasi ya kushiriki CAF CL? Mbona imeshiriki kuliko timu zote nchini, ila mara zote inatolewa mapema? Inataka kufundisha au kufundishwa?
Amini tu
Mkuu tulia tuli wala usibishane na wafuasi wa mangungu, Mambo yatakuwa hadharani kipindi sio kirefu na timu bora itaonekana uwanjani, watabadilisha statement zao hao kama walivyozoea but ubora wa yanga wala auitaji maelezo mengi majibu watayapata uwanjaniNaamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.
Yanga naamini watafika nusu final
Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika
Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Hivi bado hajatua magazeti ya bongo banaMe nasubiri kwanza huyo mcameroon mrithi wa Mayele atue ndipo tujue kama yajayo yanafurahisha