Yanga wanakwenda kuifundisha Simba jinsi ya kufika nusu final ya club bingwa

Yanga wanakwenda kuifundisha Simba jinsi ya kufika nusu final ya club bingwa

Al Merrikh sio timu nyepesi mkuu, kabla ya kuwaza robo na nusu kwanza fikiria namna ya kutoboa kwa Al Merrikh. Na wale Otoh anayecheza na Al Merrikh hawajawahi fungwa nyumbani kwao.
Timu nyingi kabla ya kucheza na Yanga hua hazijawahi kufungwa nyumbani kwao
 
Mm ni YANGA ila sisi YANGA kufika nusu fainal labda nusu ya maharage
 
Nawatabiria Wananchi makubwa kwa mara nyingine tena.
 
Mayele hayupo sasa nani atafunga magoli tena. Nlishaanza kuipenda yanga kwaajili ya mayele kasepa na mimi naacha kuipenda 😂😂😂😂😂 kuna shabiki aliskika akisema hivyo
 
Sasa vkati ya Simba na yanga nani wa kwanza kufika mbali?
Muwe na historia kabla ya kuandika huu ushuzi!
 
Sasa kati ya Simba na yanga nani wa kwanza kufika mbali?
Muwe na historia kabla ya kuandika huu ushuzi!
 
Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.

Yanga naamini watafika nusu final

Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika

Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Moyoni unaamini kuwa Simba ndio bingwa wa kihistoria ambaye amebeba ubingwa mara nyingi na kushiriki club bingwa huku akipata shida kufika nusu fainali na kwa hiyo yanga inayochechemea ndiyo itakuja kumfundisha mbabe huyu jinsi ya kuingia nusu fainali!
 
Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.

Yanga naamini watafika nusu final

Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika

Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Kwisha habari yako. Yanga hamna timu ya kucheza klabu bingwa.

Myaongeza mwaka wa 28 bila kucheza makundi klabu bingwa.
 
This time arround mtabetuliwa mpaka vyupi mvae vichwani
 
Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.

Yanga naamini watafika nusu final

Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika

Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Namna ya kutolewa hatua za mwanzo. KWA hapo mnaweza kutufundisha.

Unafundishaje kitu ambacho huna uzoefu nacho. Una miaka 26 bila kucheza makundi Cafcl halafu uje ufundishe namna ya kucheza nusu fainali! Una Akili wewe!

NB:Ndio mliambiwa hamna Akili na Ni kweli.
 
Mkuu tulia tuli wala usibishane na wafuasi wa mangungu, Mambo yatakuwa hadharani kipindi sio kirefu na timu bora itaonekana uwanjani, watabadilisha statement zao hao kama walivyozoea but ubora wa yanga wala auitaji maelezo mengi majibu watayapata uwanjani
Yanga ina ubora gani bwana timu toka 1998 inashiriki tu klabu bingwa lakini hata kucheza hatua ya Makundi tu haijawahi sasa itutishe kwa lipi kwenye Cafcl au mnafikiri kule ni confederation ambako nusu unaweza kutana na timu inashuka daraja kwenye ligi yake?
 
Back
Top Bottom