Timu nyingi kabla ya kucheza na Yanga hua hazijawahi kufungwa nyumbani kwaoAl Merrikh sio timu nyepesi mkuu, kabla ya kuwaza robo na nusu kwanza fikiria namna ya kutoboa kwa Al Merrikh. Na wale Otoh anayecheza na Al Merrikh hawajawahi fungwa nyumbani kwao.
Mfundishaji mwenyewe hajawahi kusomaYanga wanakwenda kuifundisha Simba jinsi ya kufika nusu final ya club bingwa
Cafcc ni tofauti na cfcl,Champions ni wababe tupu.Mwaka jana hayo malengo hayakufikiwa
Moyoni unaamini kuwa Simba ndio bingwa wa kihistoria ambaye amebeba ubingwa mara nyingi na kushiriki club bingwa huku akipata shida kufika nusu fainali na kwa hiyo yanga inayochechemea ndiyo itakuja kumfundisha mbabe huyu jinsi ya kuingia nusu fainali!Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.
Yanga naamini watafika nusu final
Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika
Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Kwisha habari yako. Yanga hamna timu ya kucheza klabu bingwa.Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.
Yanga naamini watafika nusu final
Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika
Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Yalikuwa malengo ya klabu bingwa siyo shirikisho. Mlifeli! Haiondoi ukweli kwamba malengo yalifeli.Mwaka jana hayo malengo hayakufikiwa
Namna ya kutolewa hatua za mwanzo. KWA hapo mnaweza kutufundisha.Naamini Yanga msimu huu wanakwenda kufundisha Simba namna gani ya kuingia nusu final ya Klabu bingwa Afrika.
Yanga naamini watafika nusu final
Kuhusu final ndo sijui sasa lakini nusu final watafika
Save uzi huu Nipo hapa Sitaki kuwa na maneno mengi Ila tutakutana wote 2024 Mungu atupe uzima tu
Huyo mwamba kazi anayoMe nasubiri kwanza huyo mcameroon mrithi wa Mayele atue ndipo tujue kama yajayo yanafurahisha
Yanga ina ubora gani bwana timu toka 1998 inashiriki tu klabu bingwa lakini hata kucheza hatua ya Makundi tu haijawahi sasa itutishe kwa lipi kwenye Cafcl au mnafikiri kule ni confederation ambako nusu unaweza kutana na timu inashuka daraja kwenye ligi yake?Mkuu tulia tuli wala usibishane na wafuasi wa mangungu, Mambo yatakuwa hadharani kipindi sio kirefu na timu bora itaonekana uwanjani, watabadilisha statement zao hao kama walivyozoea but ubora wa yanga wala auitaji maelezo mengi majibu watayapata uwanjani