Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Jul 27, 2023 #41 Tate Mkuu said: Nawatabiria Wananchi makubwa kwa mara nyingine tena. Click to expand... Mara nyingne tena kwani wamewahi fanya makubwa gani huku Caf Cl?
Tate Mkuu said: Nawatabiria Wananchi makubwa kwa mara nyingine tena. Click to expand... Mara nyingne tena kwani wamewahi fanya makubwa gani huku Caf Cl?
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Jul 27, 2023 #42 Usalama barabarani said: Acha inyeshe tuone panapovuja! Kama ni Simba au Yanga itajulikana tu! Click to expand... Yanga sio timu ya kucheza klabu bingwa wenyewe wanajijua na mashindano yao wanayajua na kwa bahati mbaya mwaka huu kanuni zinawakataa nadhani utakuwa ni mwaka wa 26 tena wa klabu kongwe kukaa bila kujua makundi ya klabu bingwa yanafananaje
Usalama barabarani said: Acha inyeshe tuone panapovuja! Kama ni Simba au Yanga itajulikana tu! Click to expand... Yanga sio timu ya kucheza klabu bingwa wenyewe wanajijua na mashindano yao wanayajua na kwa bahati mbaya mwaka huu kanuni zinawakataa nadhani utakuwa ni mwaka wa 26 tena wa klabu kongwe kukaa bila kujua makundi ya klabu bingwa yanafananaje