Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa

1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz ki Ni moja kwanini Aziz ki alipwe m10+ uku fei akipewa robo ya mshahara wake
Je watafanikiwaa
 
Wakili wa Feitoto sikuhizi umepoa sana, vipi safari ya CAS lini?
 
Alishikiwa bunduki wakati anasaini ?

Mbona Mane alizidiwa mshahara na magarasa wengi pale Liva ?
 
Nyie ndio mnatufanya watanzania tuonekane ni wajinga. Kuliko kupoteza muda wa kuandika vitu huvijui, ungesoma kidogo mambo ya mikataba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Badala ujadili ya Sawadogo namna gani analipwa pesa kubwa kuliko mzamiru na hakuna anachokifanya unakuja kujadili Mambo ya yanga.
Alaa...!Kumbe zianzishwapo sledi kuhusu Simba na Wydad tena na hata wasiohusika huwa hamzioni?
 
Taarifa umepata wapi
 
Hujawahi hata siku moja kuleta humu jukwaani, hoja yenye mashiko. Hoja zako zote mara nyingi huacha maswali mengi, kuliko majibu.
 
Boss hapo naona ata kama ingekuwa kwel Unachanganya thamani ya kumnunua Ki, na kumuuza Toto, bila kujua thamani ya Ki ikitokea kuwekwa sokoni. so unafanya unfair comparison
 

Ni ishu ya kimkataba ndio maana
Mzamiru kiungo punda analipwa kiduchu kuliko Nelson Okwa aliyepo mkopo Ihefu
 
yanga haina hasara kwa aziz k kwani ametupeleka makundi,amesawazisha goli dhidi ya simba kwakutaja machache
 
Uwezo wako wa kufikiri upo chini sana.
 
nyuz zingine za kitoto kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…