Yanga wanavunja sheria/kanuni hii. Na TFF/Bodi ya Ligi wako kimya tu

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,732
Reaction score
4,901
Sheria/kanuni zipo wazi. Baada ya kukaguliwa na ku-line up kwa taratibu zingine za mchezo kukamilika, hairuhusiwi mchezaji/wachezaji kutoka nje ya uwanja. Ila nmeshangaa wachezaji wa Yanga kutoka nje ya uwanja kugawa/kurusha jezi kwa mashabiki. Tff na bodi ya ligi wako kimya tu, hawaonyi wala kukemea. Huu ni uvunjivu wa sheria/kanuni za soka.
 
Mbumbumbu mnapenda kulialia sana kenge ninyi
 
Weka basi na hiko kifungu cha sheria ili tukisome. Pengine hawajajua kama kuna sheria inayokataza hilo jambo. Mimi mwenyewe ni mmojawapo hivyo kutuwekea hiyo sheria hapa itakuwa umewasaidia wachezaji, mashabiki, na wana JF wasiojua nikiwemo na mimi
 
Kama hio Sheria ina vunjwa basi ni duniani kote maana mara nyingi naona goli likifungwa wanashangilia nje ya pitch
 
Elewa kwanza jambo moja ndio ulete hoja ya pili. Kuna mchezaji kutoka ndani ya mchezo kama kurusha mpira, kupiga kona, kushangilia goli. Ila huwezi kutoka uwajani bila sababu maalum tena bila ruhusa ya refa.
 
Mkuu sababu si umesema wanaenda rusha jezi ama unataka sababu gani tena Mie nkajua wanatoka tu kuzurula
 
Elewa kwanza jambo moja ndio ulete hoja ya pili. Kuna mchezaji kutoka ndani ya mchezo kama kurusha mpira, kupiga kona, kushangilia goli. Ila huwezi kutoka uwajani bila sababu maalum tena bila ruhusa ya refa.
Weka hapa hiyo sheria tuisome wote wacha kuendelea kulia. Umeombwa sheria, iweke tu hapa watu wasome. Wacha kutoa tafsiri zako
 
Wewe ndiye yule Meneja uliyeachwa na mchezaji wako hivi karibuni?

Boss Mo kahamua kujiondoa kwenye uongozi sababu alikuwa anamtegemea Hams kwenye figisu za soka.

Ebu tuwekee hiyo kanuni
 
Weka hapa hiyo sheria tuisome wote wacha kuendelea kulia. Umeombwa sheria, iweke tu hapa watu wasome. Wacha kutoa tafsiri zako
Nimemuomba tokea juu atuwekee hiko kifungu tukisome kwa faida ya wote. Maana mimi nilikuwa sijui kama kuna sheria inakataza na najua ni wengi tu hawaijui. Atuwekee basi hapa hiyo kanuni
 
Huwa natumia kauli moja tu Kwa watu kama wewe; "Kuna watu mnasababisha mashabiki wa Simba waonekane Mbumbumbu". Yaani hili la kugawa jezi nalo kwako ni nongwa?
 
Unataka kusema ilipelekea wao kucheza mpira ule??
 
Unataka kusema ilipelekea wao kucheza mpira ule??
 
Ulikosa jezi? Acheni kulialia jamani! Too much sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…