adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Sheria/kanuni zipo wazi. Baada ya kukaguliwa na ku-line up kwa taratibu zingine za mchezo kukamilika, hairuhusiwi mchezaji/wachezaji kutoka nje ya uwanja. Ila nmeshangaa wachezaji wa Yanga kutoka nje ya uwanja kugawa/kurusha jezi kwa mashabiki. Tff na bodi ya ligi wako kimya tu, hawaonyi wala kukemea. Huu ni uvunjivu wa sheria/kanuni za soka.