Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Yanga wana matatizo gani kwani. Au zile supu zinawatia wazimu?
😃😀😆