Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kisu kimegusa mfupa eeeh?Watu kama hao unawaaangalia tuu...maana walitoka huko huko na usiku wanapatafuta huko huko...
Sio wewe uliyekuwa unadai shirikisho kombe la luzq?
Wembe ni ule ule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisu kimegusa mfupa eeeh?Watu kama hao unawaaangalia tuu...maana walitoka huko huko na usiku wanapatafuta huko huko...
Uzuri ushawanyoa na nyie..Kisu kimegusa mfupa eeeh?
Sio wewe uliyekuwa unadai shirikisho kombe la luzq?
Wembe ni ule ule
Na wao walishakuwepo huko..Kabisa... Mtu yeyote anayemdhalilisha mwanamke ili yeye aonekane imara, yeye mwenyewe ndiyo dhaifu.
Na Mwanasimba Mwingine nani vile akasema eti shirikisho ni kombe la wamama kisa wao mapaka wanacheza klabu bingwa!Aliyeanza kuita kombe la looser alikuwa haji manara wakati akiwa msemaji wa simba.
Mbona inajulikana?