Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
La nyie 5imba Thiiimbaaaa Guvu Moya Wamama mtapigwa kama ngoma.Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Yanga wana matatizo gani kwani. Au zile supu zinawatia wazimu?
πππ
Ndio kama kombe la kike tusiseme, dume zima unasubiri upoteze ubingwa alafu uende kombe la viti maalumu khaaKwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Yanga wana matatizo gani kwani. Au zile supu zinawatia wazimu?
πππ
umeanza lini kufatilia mpira..?Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Yanga wana matatizo gani kwani. Au zile supu zinawatia wazimu?
πππ
Tunaanza trh 27 mama mstaafu π π πumeanza lini kufatilia mpira..?
huo ni utani wa jadi, kama unabisha kaangalie maneno ya wanasimba wakati yenyewe inashiriki championship na yanga shirikisho!. hata wao walikuwa wakisema maneno ya shombo tupu! hivyo hata usijiumize akili kesho keshokutwa simba atakuwa championship na yanya federation na maneno yatatoka yaleyale!.. usijisumbue na utani wa watu utajijuta unatumia nguvu bure kumbe wenyewe wakibishana ndo burudani na kwenye maisha ya kawaida wanasaidiana kama vile sio wao wanaotaniana mpk matusi!.
nafikiri kuna watu mtapata tabu sana kuja kuuelewa ushabiki wa wana simba na yanga!, na kwavile mimi ni yanga ngoja niwatanie wanasimba hawa kaka Mshana Jr na bibie Kalpana ati kombe lenu la wamama mnaanza kucheza lini...??π€£
Mara hii mmesahau enheee..!!! Haya maneno yote ni yenu yamewarudia.Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Yanga wana matatizo gani kwani. Au zile supu zinawatia wazimu?
πππ
zamu yenu sasa kuhenyeka!..π€£Tunaanza trh 27 mama mstaafu π π π
Uliyoongea ni ukweli mtupu..kuna watu mlihenyeka kama nyie wkt mnacheza federetion?...hahahhaha π
Unapoudundisha mpira ukutani, kuwa makini usije ukakubamiza usoni. Yanga hawajawi kudharau Kombe la Shirikisho, Simba ndiyo waliokuwa wakidharau kombe la Shirikisho wakidai ni kombe la losers lisilo na hadhi hivyo timu kama haiwezi ikashiriki Kombe hilo, sasa hivi mpira umedunda ukutani na kuwarudia na kiwaamiza usoni. Wanachofanya Yanga ni kuwakumbusheni tu maneno yenuKwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Yanga wana matatizo gani kwani. Au zile supu zinawatia wazimu?
πππ
zamu yenu sasa kuhenyeka!..π€£
Kwa zaidi ya miaka 45 nafuatilia Mpira. Umama au uanamke si udhaifu.umeanza lini kufatilia mpira..?
huo ni utani wa jadi,
tulieni dawa iwaingie!Kwa zaidi ya miaka 45 nafuatilia Mpira. Umama au uanamke si udhaifu.
Watu wenye fikra za kizamani ndiyo hudhani binadamu kuumbwa mwanamke ni ishara ya udhaifu. Utani wenye kutumia ujinsia kama ishara ya udhaifu siyo utani wa jadi.
ππππtulieni dawa iwaingie!
Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki na kufika hadi fainali na kujisifu kwa kufika fainali ya mashindano hayo.
Watu kama hao unawaaangalia tuu...maana walitoka huko huko na usiku wanapatafuta huko huko...Kwa zaidi ya miaka 45 nafuatilia Mpira. Umama au uanamke si udhaifu.
Watu wenye fikra za kizamani ndiyo hudhani binadamu kuumbwa mwanamke ni ishara ya udhaifu. Utani wenye kutumia ujinsia kama ishara ya udhaifu siyo utani wa jadi.
Kabisa... Mtu yeyote anayemdhalilisha mwanamke ili yeye aonekane imara, yeye mwenyewe ndiyo dhaifu.Watu kama hao unawaaangalia tuu...maana walitoka huko huko na usiku wanapatafuta huko huko...
Tulishakubaliana tangu msimu juzi kuwa shirikisho ni kombe la maluza na akina mama au hamkusema hivyoKwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine.