Yanga wanavyohaha kusaka ushindi nje ya uwanja dhidi ya waraabu kwa kutoa damu na kusaidia yatima

Yanga wanavyohaha kusaka ushindi nje ya uwanja dhidi ya waraabu kwa kutoa damu na kusaidia yatima

Yanga wanahaha kusaka ushindi j2 dhidi ya mwarabu, mara wametoa damu, mara wamesaidia yatima, mara wamekusanya watoto na kuwapa zawadi baada ya kuwauliza maswali hiyo yote ni kutapatapa tu.

Andaeni timu vzr, mambo ya nje ya uwanja na jezi zenu nyeusi hayapo j2.
Kuna wakati tutumie akili zetu vizuri mkuu. Hivi unawezaje mtu mzima na akili zako kubeza suala la kujitolea damu na kuhudumia wasiojiweza? Siku ukiishiwa damu ukaenda hospitali ukakakuta hakuna nadhani utalikumbuka vizuri hili jambo wanalolifanya Yanga. Hopeless kabisa.
 
Back
Top Bottom