Yanga wanayajua haya? Kama wanayajua, wanatakiwa kuiombea Simba SC na Namungo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Kabla ya kuanza kwa msimu huu wa mashindano ya CAF, Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 13 Afrika, ikiwa na pointi 14.

Pointi hupatikana kwa klabu kuingia hatua ya makundi.

Kwa ligi ya mabingwa, kuingia tu makundi, nchi inapata pointi 2.5, Shirikisho ni pointi 2.

Pointi hizi huhesabiwa kwa kipindi cha miaka 5 na mwaka wa karibu zaidi huwa na thamani zaidi. Kila unapopita mwaka mmoja, pointi moja hupungua kwa kila pointi za mwaka husika.

Tanzania tulizipata pointi zetu kwa mafanikio ya Yanga (2016 na 2018) na Simba (2018/19).

Yanga waliingia makundi Shirikisho na kuipatia Tanzania pointi 2 kila mwaka. Lakini hadi kufikia 2018/19 pale Simba walipoingia robo fainali, pointi za Yanga zilipungua na kubaki 3.

Robo fainali ya Simba iliipatia Tanzania pointi 15, ukichanganya na zile 3 za Yanga, zikawa 18...tukapanda hadi nafasi ya 12 Afrika na kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF.

Lakini kukwama kwetu misimu iliyofuata kulitupunguzia pointi. Hadi msimu huu unaanza tukabaki na pointi 14 tu ambazo msimu ujao zitabaki 13.

Lakini Simba kuingia makundi kumetupatia pointi 2 ambazo zinafanya tuwe na pointi 15 msimu ujao.

Hata hivyo, kwenye ligi ya mabingwa, kuingia makundi kuna pointi zake na kila nafasi utakayomaliza kwenye kundi ina pointi zake.

Nafasi ya mwisho ina pointi 5...kwa hiyo Simba hata akiwa wa mwisho kwenye kundi, Tanzania itavuna pointi 5, ukijumlisha na zile 13, zitakuwa 18 msimu ujao.

Wapinzani wetu wakubwa, Libya, ambao walianza msimu wakiwa na pointi 16.5, zitapungua hadi kuwa 13.5 msimu ujao.

Lakini kwa kuwa timu yao ya Al Ahly Benghazi imeingia makundi Shirikisho, msimu ujao Libya itakuwa na pointi 15.5, bado hawatotufikia.

Na endapo Namungo wataingia makundi, wataipatia Tanzania pointi 2, na zile 18, zitakuwa 20.

Ili Libya watuzidi, ni lazima kwanza timu zetu zote ziishie makundi halafu yao ifike hadi robo fainali.

Lakini Simba wakimaliza wa tatu kwenye kundi lao, Tanzania itapata pointi 10, hivyo kuwa na 25....robo fainali, pointi 30.

Na endapo Namungo watafuzu makundi na kumaliza wa tatu...Libya ndo hawatugusi kabisa.

Kutufikia itakuwa ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Utopolo wanayajua haya? Kama wanayajua,wanatakiwa kuiombea Simba Sc na Namungo
 
Mkuu hakuna point inayotolewa kwa kuingia tu kwenye makundi bali point inatolewa kadri utakavyoshika nafasi ya ngapi kwenye kundi. Ukishika nafasi ya mwisho kwenye kundi upande wa klabu bingwa unapata point 1 ukishika nafasi ya tatu kwenye kundi unapata point 2 ukiwa wa kwanza au wapili unahesabika kuwa umefuzu robo fainali hivyo unakuwa na point 3.

Shirikisho hivyo hivyo hakuna point point inayotolewa kisa tu umefuzu group stage bali unapewa point kulingana na nafasi uliopo kwenye kundi. Ukiwa wa mwisho kwenye kundi unakuwa na point 0.5 ukiwa nafasi ya tatu unakuwa na point 1 ukifuzu robo fainali (nafasi ya pili au ya kwanza) unakuwa na point 2
 
Yanga ndiye Bingwwa msimu huu! Hayo mambo ya timu nne yanatuhusu nini sisi? Tayari atashiriki Klabu Bingwa moja kwa moja.

Hivyo huo ushauri wako unawafaa akina Azam lakini pia nyinyi wenyewe. Wananchi hawana muda wa kusubiria mafanikio yenu na wakati na wenyewe wanaweza kufuzu pasipo kubebwa!

Tunaongoza ligi mpaka sasa, lakini pia bado tupo kwenye Azam Sports Federation Cup! Kote huko tumejipanga kuchukua vikombe vyote!!

Nani kama Yanga!!! 🗣️ Hakunaaaa!!
 
Ntakutafuta baada ya Mnyama kucheza zle 3
Yanga ndiye Bingwwa msimu huu! Hayo mambo ya timu nne yanatuhusu nini sisi? Tayari atashiriki Klabu Bingwa moja kwa moja.

Hivyo huo ushauri wako unawafaa akina Azam lakini pia nyinyi wenyewe. Wananchi hawana muda wa kusubiria mafanikio yenu na wakati na wenyewe wanaweza kufuzu pasipo kubebwa!

Tunaongoza ligi mpaka sasa, lakini pia bado tupo kwenye Azam Sports Federation Cup! Kote huko tumejipanga kuchukua vikombe vyote!!

Nani kama Yanga!!! 🗣️ Hakunaaaa!!
 
Kabla ya kuanza kwa msimu huu wa mashindano ya CAF, Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 13 Afrika, ikiwa na pointi 14.

Pointi hupatikana kwa klabu kuingia hatua ya makundi.

Kwa ligi ya mabingwa, kuingia tu makundi, nchi inapata pointi 2.5, Shirikisho ni pointi 2.

Pointi hizi huhesabiwa kwa kipindi cha miaka 5 na mwaka wa karibu zaidi huwa na thamani zaidi. Kila unapopita mwaka mmoja, pointi moja hupungua kwa kila pointi za mwaka husika.

Tanzania tulizipata pointi zetu kwa mafanikio ya Yanga (2016 na 2018) na Simba (2018/19).

Yanga waliingia makundi Shirikisho na kuipatia Tanzania pointi 2 kila mwaka. Lakini hadi kufikia 2018/19 pale Simba walipoingia robo fainali, pointi za Yanga zilipungua na kubaki 3.

Robo fainali ya Simba iliipatia Tanzania pointi 15, ukichanganya na zile 3 za Yanga, zikawa 18...tukapanda hadi nafasi ya 12 Afrika na kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF.

Lakini kukwama kwetu misimu iliyofuata kulitupunguzia pointi. Hadi msimu huu unaanza tukabaki na pointi 14 tu ambazo msimu ujao zitabaki 13.

Lakini Simba kuingia makundi kumetupatia pointi 2 ambazo zinafanya tuwe na pointi 15 msimu ujao.

Hata hivyo, kwenye ligi ya mabingwa, kuingia makundi kuna pointi zake na kila nafasi utakayomaliza kwenye kundi ina pointi zake.

Nafasi ya mwisho ina pointi 5...kwa hiyo Simba hata akiwa wa mwisho kwenye kundi, Tanzania itavuna pointi 5, ukijumlisha na zile 13, zitakuwa 18 msimu ujao.

Wapinzani wetu wakubwa, Libya, ambao walianza msimu wakiwa na pointi 16.5, zitapungua hadi kuwa 13.5 msimu ujao.

Lakini kwa kuwa timu yao ya Al Ahly Benghazi imeingia makundi Shirikisho, msimu ujao Libya itakuwa na pointi 15.5, bado hawatotufikia.

Na endapo Namungo wataingia makundi, wataipatia Tanzania pointi 2, na zile 18, zitakuwa 20.

Ili Libya watuzidi, ni lazima kwanza timu zetu zote ziishie makundi halafu yao ifike hadi robo fainali.

Lakini Simba wakimaliza wa tatu kwenye kundi lao, Tanzania itapata pointi 10, hivyo kuwa na 25....robo fainali, pointi 30.

Na endapo Namungo watafuzu makundi na kumaliza wa tatu...Libya ndo hawatugusi kabisa.

Kutufikia itakuwa ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Utopolo wanayajua haya? Kama wanayajua,wanatakiwa kuiombea Simba Sc na Namungo
Hata tukisali nchi nzima simba watapigwa tu
 
Nitarudi
 
Nani kama Yanga!!! [emoji2788] Hakunaaaa!!
Sawa tuseme yanga ndio bingwa mwaka huu, sasa kwanini mnaleta ubinafsi, hamuoni zikiendaenda timu nne nifaida kwa club zingine na taifa pia?
 
Lesson 3: Numbers (1-10)
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Tutaanza kuhesabu leo vizuri saa kumi jion, karibu darasani
 
Kabla ya kuanza kwa msimu huu wa mashindano ya CAF, Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 13 Afrika, ikiwa na pointi 14.

Pointi hupatikana kwa klabu kuingia hatua ya makundi.

Kwa ligi ya mabingwa, kuingia tu makundi, nchi inapata pointi 2.5, Shirikisho ni pointi 2.

Pointi hizi huhesabiwa kwa kipindi cha miaka 5 na mwaka wa karibu zaidi huwa na thamani zaidi. Kila unapopita mwaka mmoja, pointi moja hupungua kwa kila pointi za mwaka husika.

Tanzania tulizipata pointi zetu kwa mafanikio ya Yanga (2016 na 2018) na Simba (2018/19).

Yanga waliingia makundi Shirikisho na kuipatia Tanzania pointi 2 kila mwaka. Lakini hadi kufikia 2018/19 pale Simba walipoingia robo fainali, pointi za Yanga zilipungua na kubaki 3.

Robo fainali ya Simba iliipatia Tanzania pointi 15, ukichanganya na zile 3 za Yanga, zikawa 18...tukapanda hadi nafasi ya 12 Afrika na kuingiza timu 4 kwenye mashindano ya CAF.

Lakini kukwama kwetu misimu iliyofuata kulitupunguzia pointi. Hadi msimu huu unaanza tukabaki na pointi 14 tu ambazo msimu ujao zitabaki 13.

Lakini Simba kuingia makundi kumetupatia pointi 2 ambazo zinafanya tuwe na pointi 15 msimu ujao.

Hata hivyo, kwenye ligi ya mabingwa, kuingia makundi kuna pointi zake na kila nafasi utakayomaliza kwenye kundi ina pointi zake.

Nafasi ya mwisho ina pointi 5...kwa hiyo Simba hata akiwa wa mwisho kwenye kundi, Tanzania itavuna pointi 5, ukijumlisha na zile 13, zitakuwa 18 msimu ujao.

Wapinzani wetu wakubwa, Libya, ambao walianza msimu wakiwa na pointi 16.5, zitapungua hadi kuwa 13.5 msimu ujao.

Lakini kwa kuwa timu yao ya Al Ahly Benghazi imeingia makundi Shirikisho, msimu ujao Libya itakuwa na pointi 15.5, bado hawatotufikia.

Na endapo Namungo wataingia makundi, wataipatia Tanzania pointi 2, na zile 18, zitakuwa 20.

Ili Libya watuzidi, ni lazima kwanza timu zetu zote ziishie makundi halafu yao ifike hadi robo fainali.

Lakini Simba wakimaliza wa tatu kwenye kundi lao, Tanzania itapata pointi 10, hivyo kuwa na 25....robo fainali, pointi 30.

Na endapo Namungo watafuzu makundi na kumaliza wa tatu...Libya ndo hawatugusi kabisa.

Kutufikia itakuwa ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Utopolo wanayajua haya? Kama wanayajua,wanatakiwa kuiombea Simba Sc na Namungo

Ujuzi huu kwa utopolo Ni sawa na kumpigia gitaa
 
Yanga ndiye Bingwwa msimu huu! Hayo mambo ya timu nne yanatuhusu nini sisi? Tayari atashiriki Klabu Bingwa moja kwa moja.

Hivyo huo ushauri wako unawafaa akina Azam lakini pia nyinyi wenyewe. Wananchi hawana muda wa kusubiria mafanikio yenu na wakati na wenyewe wanaweza kufuzu pasipo kubebwa!

Tunaongoza ligi mpaka sasa, lakini pia bado tupo kwenye Azam Sports Federation Cup! Kote huko tumejipanga kuchukua vikombe vyote!!

Nani kama Yanga!!! 🗣️ Hakunaaaa!!
Hizi imani ndo zinawafanya uto walie hata wakitoa draw
 
Back
Top Bottom