Yanga wangekuwa tayari kuingizwa mfuko wa kaya masikini TASAF?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Nauliza wanayanga,mmemsikia Mbunge Ali Kessy akiomba Club ya Yanga iingizwe kama kaya masikini zinazosaidiwa na serikali kwa mfuko maalumu
 
Duh hizi dharau sasa[emoji3][emoji3][emoji3]

Never say never
 
Kuna masikini anapanda ndege??..misimu kadhaa nyuma..mikia ndege walikuwa wanaziona angani tu
 
Ndo mana mtaendelea kua omba omba kila siku, mnaacha kula kulingana na urefu wa kamba,mnataka mshindane na simba kupanda ndege. Kesy wafanyie Mpango ndg zako Ya waingizwe Tasaff

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Bashite amkomoe Manji kumbe Kanji ameshika uchumi wa Taifa..sasa hivi wanatafuta dollar kwa tochi...Yanga inabounce back na moto wake mnaujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…