OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nauliza wanayanga,mmemsikia Mbunge Ali Kessy akiomba Club ya Yanga iingizwe kama kaya masikini zinazosaidiwa na serikali kwa mfuko maalumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa njaa walionayo hadi ukiwachangia hata tsh 10/= wanashukuru watakataaje kuingia kwenye mpango wa kaya masikini??View attachment 1063338
Nauliza wanayanga,mmemsikia Mbunge Ali Kessy akiomba Club ya Yanga iingizwe kama kaya masikini zinazosaidiwa na serikali kwa mfuko maalumu
Sasa mabakuli ya nini,kuna tajiri inatembeza bakuli?Kuna masikini anapanda ndege??..misimu kadhaa nyuma..mikia ndege walikuwa wanaziona angani tu
Ndo mana mtaendelea kua omba omba kila siku, mnaacha kula kulingana na urefu wa kamba,mnataka mshindane na simba kupanda ndege. Kesy wafanyie Mpango ndg zako Ya waingizwe TasaffKuna masikini anapanda ndege??..misimu kadhaa nyuma..mikia ndege walikuwa wanaziona angani tu
Wacha hizo, mbona hata serikali na raslimali zote inaziliki uomba misaada kwa wahisani, hiyo ni kawaida sana tu.Sasa mabakuli ya nini,kuna tajiri inatembeza bakuli?
Mpaka Bashite amkomoe Manji kumbe Kanji ameshika uchumi wa Taifa..sasa hivi wanatafuta dollar kwa tochi...Yanga inabounce back na moto wake mnaujuaNdo mana mtaendelea kua omba omba kila siku, mnaacha kula kulingana na urefu wa kamba,mnataka mshindane na simba kupanda ndege. Kesy wafanyie Mpango ndg zako Ya waingizwe Tasaff
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyuma mlifanya nini au mlikuwa mnatalii?? Miaka yote kujisifu mmeleta points 3 only, wakati simba msimu mmoja kwa nchi tumevuna points 15Kuna masikini anapanda ndege??..misimu kadhaa nyuma..mikia ndege walikuwa wanaziona angani tu