Yanga waningia kwenye vitabu vya guiness record

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Yanga imeweka record mpya kwenye vitabu vya kumbu kumbu ndio timu pekee duniani iliyoshinda ndani ya dk 90 then ikatolewa kwenye matuta jumatatu nafikiri washabiki wote wa yanga watakua ofisi za caf halafu watakwenda fifa kuulizia sheria ilikaaje hapo hivi sasa wapo kwenye kikao na waziri FA ili awapatie ndege na mabasi!
 
Ushamba utawaua!
Mwakarobo jr
 
World Cup South Africa
Germany vs England

Kuna Magoli Yaliingia Upande Wa Germany Dhahiri Wazi Kama La Yanga Ila Lilikataliwa Na Hakuna Kitabu Kimeandika
 
Kipindi hicho hapakua na VAR wala goal line technology kwaiyo tukisema ni makosa ya kibinadamu angalao inakua na mantiki ila sio ule uhuni wa jana.
 
World Cup South Africa
Germany vs England

Kuna Magoli Yaliingia Upande Wa Germany Dhahiri Wazi Kama La Yanga Ila Lilikataliwa Na Hakuna Kitabu Kimeandika
Lipo la manchester united na totenham kipa wa manu roy carol aliutoa ndani ya nyavu kelele ziliisha ndani ya dk 90 watu wakaangalia mambo mengine!
 
World Cup South Africa
Germany vs England

Kuna Magoli Yaliingia Upande Wa Germany Dhahiri Wazi Kama La Yanga Ila Lilikataliwa Na Hakuna Kitabu Kimeandika
05/11/2023 Yanga SC ilimkanda Makolokolo SC 5-1 wameweka mabango, Dar, Zambia, Kisumu, Nairobi hadi peponi [emoji119][emoji2]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Malalamiko FC

Kulalamika ni kawaida yao hao

Ushindi wa mpira wa miguu unapatikana uwanjani peke yake, sio mahakamani.
 
Back
Top Bottom