kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ushamba utawaua!Yanga imeweka record mpya kwenye vitabu vya kumbu kumbu ndio timu pekee duniani iliyoshinda ndani ya dk 90 then ikatolewa kwenye matuta jumatatu nafikiri washabiki wote wa yanga watakua ofisi za caf halafu watakwenda fifa kuulizia sheria ilikaaje hapo hivi sasa wapo kwenye kikao na waziri FA ili awapatie ndege na mabasi!
Kipindi hicho hapakua na VAR wala goal line technology kwaiyo tukisema ni makosa ya kibinadamu angalao inakua na mantiki ila sio ule uhuni wa jana.World Cup South Africa
Germany vs England
Kuna Magoli Yaliingia Upande Wa Germany Dhahiri Wazi Kama La Yanga Ila Lilikataliwa Na Hakuna Kitabu Kimeandika
na ndio hili tukio likaleta ulazima wa kuanzisha GLT na VARKipindi hicho hapakua na VAR wala goal line technology kwaiyo tukisema ni makosa ya kibinadamu angalao inakua na mantiki ila sio ule uhuni wa jana.
Jibu limekaa mahala pake!na ndio hili tukio likaleta ulazima wa kuanzisha GLT na VAR
Lipo la manchester united na totenham kipa wa manu roy carol aliutoa ndani ya nyavu kelele ziliisha ndani ya dk 90 watu wakaangalia mambo mengine!World Cup South Africa
Germany vs England
Kuna Magoli Yaliingia Upande Wa Germany Dhahiri Wazi Kama La Yanga Ila Lilikataliwa Na Hakuna Kitabu Kimeandika
Kwenye vikao vya wanaume uwe unaenda jikoni kuandaa chakula.Tumedhulumiwa Fc mtaongea kila kitu sasa😃
Mwakarobo Jr ni yule aliyekomea robo fainali za CAFCL zaidi ya miaka mitano mfululizo [emoji28]Ushamba utawaua!
Mwakarobo jr
05/11/2023 Yanga SC ilimkanda Makolokolo SC 5-1 wameweka mabango, Dar, Zambia, Kisumu, Nairobi hadi peponi [emoji119][emoji2]World Cup South Africa
Germany vs England
Kuna Magoli Yaliingia Upande Wa Germany Dhahiri Wazi Kama La Yanga Ila Lilikataliwa Na Hakuna Kitabu Kimeandika
Alaaah!Hongera Kwa Ubuntu Botho See You Next Time
Kumbe ndio tafsiri yake!Mwakarobo Jr ni yule aliyekomea robo fainali za CAFCL zaidi ya miaka mitano mfululizo [emoji28]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hakika kabisa!lazima tupiganie haki yetu
wanapiga piga piga kelele mda wote warudi tu kwenye ligi yao ya bahashaMalalamiko FC
Kulalamika ni kawaida yao hao
Ushindi wa mpira wa miguu unapatikana uwanjani peke yake, sio mahakamani.
Wewe umeona mbali!wanapiga piga piga kelele mda wote warudi tu kwenye ligi yao ya bahasha