Yanga waombewa msaada kwa Mo

Yanga wa kimataifa wazee wa kupigwa 7 - 2 kwakweli wanatia huruma sana.
 
Yanga wa kimataifa wazee wa kupigwa 7 - 2 kwakweli wanatia huruma sana.
Msiwabeze Yanga bado iko imara.
Ina wachezaji wazuri bado na ni wale wale waliosumbua kwenye ligi, tatizo lipo kidogo kwenye Uongozi wao.
Ona Golmahia
Simba ilifungwa na Golmahia bao 2 - 0 Sportpesa.
Yanga imefungwa na Golmahia goli 3 - 1 Africa.
Hapa wastani wa magoli ni uleule yaani wate wamefungwa goli 2 - 0.
Daima Myuma Mwiko
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Lete tena hizo statistics vizr, hiyo ya yanga kufungwa 3: 1 ya lini
 
Nje ndani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe wale watu waliokuwa wanasema ile hela itume kwenye hiii namba,,, ni YANGA,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…