HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Mkuu was Wilaya mpya na ambaye amewahi kuwa msemaji was klabu ya Yanga Jerry Muro, ameiombea timu take msaada was TZS 100,000,000. Je wadau mnaona iko sawa hiyo. JERRY AWAOMBEA YANGA MILIONI 100 KWA MO - SALEH JEMBE