Yanga waongeza Kocha wa Viungo kwenye benchi, Behlulović ni chaguo la Kocha Ramovic

Naona Saidi kaanza kuwapa shavu wapemba wenzake.

Haya mambo aliwahi kuyafanya Zoran tukamtimua yeye na mzungu wake saizi naona yamehamia Jangwani.
 
Labda wachezaji watakuwa na nishati ya kutosha , mchezaji analipwa milioni 35 kwa mwezi halafu unaambiwa hana nishati ya kutosha kwa dk 99-130
 
Naona Saidi kaanza kuwapa shavu wapemba wenzake.

Haya mambo aliwahi kuyafanya Zoran tukamtimua yeye na mzungu wake saizi naona yamehamia Jangwani.
Kocha lazima apewe uhuru wa kuchagua bench lake la ufundi ili yakitokea ya kutokea asiwe na kichaka cha kujifichia iyo ni kawaida kote duniani!
 
Sasa hivi ukiwa na tatoo tu unapewa fursa pale Deportivo de Utopolo. Soon Gigy Money anapewa kitengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…