Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Were unayejua tofauti embu niambie .... Katkia hizi jezi za Barcelona nani "Shirt sponsor" na nani ni "kit manufacuturer"...... Majibu tafadhali......Mkuu unachanganya kati ya 'Shirt Sponsor' na 'Kit Manufacturer' Jaribu kutofautisha tafadhali.
Ndio ita saidia
Miaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.Were unayejua tofauti embu niambie .... Katkia hizi jezi za Barcelona nani "Shirt sponsor" na nani ni "kit manufacuturer"...... Majibu tafadhali......
Unaona vizuri jezi ya Madrid na hizi ilikuwa mechi ya klabu bingwa ulaya .... Embu nionyeshe hapo "kit manufacturer" ni nani na "shirt sponsor" ni nani.....Mkuu unachanganya kati ya 'Shirt Sponsor' na 'Kit Manufacturer' Jaribu kutofautisha tafadhali.
Miaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.
JIBU LA SWALI LAKO:
Kwenye hizo picha zako kuna kit manufacturer logo and signs pamoja na club logo TU kwa sababu wakati huo walikuwa hawahitaji shirt sponsors especially wale shirt sponsors walio business oriented. Over!!!
Na kit ya Real Madrid nao walikuwa hawataki business oriented au!!!?? Nielezee basis na ya madridMiaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.
JIBU LA SWALI LAKO:
Kwenye hizo picha zako kuna kit manufacturer logo and signs pamoja na club logo TU kwa sababu wakati huo walikuwa hawahitaji shirt sponsors especially wale shirt sponsors walio business oriented. Over!!!
Mkuu unakurupuka sana afu mpira wenyewe huujui kiundani....hapo kwenye picha ya Ronaldo kavaa jezi plain ni wakati ule shirt sponsor wao alikuwa ni 'Bwin' na hiyo ilikuwa ni game ya UEFA Champions League.Na kit ya Real Madrid nao walikuwa hawataki business oriented au!!!?? Nielezee basis na ya madrid
Nikumbushe ni mji gani huuu ambao haukubali kamari ulaya...ulevi, pombe na sigara..... Nikumbushe huo mji mkuu ..... NiutembeleeMkuu unakurupuka sana afu mpira wenyewe huujui kiundani....hapo kwenye picha ya Ronaldo kavaa jezi plain ni wakati ule shirt sponsor wao alikuwa ni 'Bwin' na hiyo ilikuwa ni game ya UEFA Champions League.
Kama ulikuwa hujui basi jua kuwa Bwin ni kampuni ya kamari. Kuna nchi/miji hawataki matangazo ya vitu kama kamari,pombe,sigara etc.
Kwa hiyo timu ikienda kucheza nchi/miji hiyo inalazimika kucheza na plain jerseys bila ya shirt sponsor kama tu shirt sponsor ni miongoni mwa bidhaa zilizokatazwa kutangazwa hadharani ktk sehem hizo. [emoji41]
Ungekuwa ni mfatiliaji wa huu mchezo pendwa longtime kitambo lazima ungekuwa unaujua huo mji/jiji waloenda kucheza real madrid bila ya bwin[emoji2] [emoji2],anyway utafute kupitia vyanzo vyako vingine mkuu!!!Nikumbushe ni mji gani huuu ambao haukubali kamari ulaya...ulevi, pombe na sigara..... Nikumbushe huo mji mkuu ..... Niutembelee
Haikuhusu...hiyo nyuzi mpya ndio itawasaidia kuwafunga waarabu na mazembe?!