Miaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.
JIBU LA SWALI LAKO:
Kwenye hizo picha zako kuna kit manufacturer logo and signs pamoja na club logo TU kwa sababu wakati huo walikuwa hawahitaji shirt sponsors especially wale shirt sponsors walio business oriented. Over!!!