Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
- Thread starter
- #21
Wapi nimeitaja Simba ktk andiko langu?Huyo ni fala tu hata hajui anataka nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimeitaja Simba ktk andiko langu?Huyo ni fala tu hata hajui anataka nini
Uwe na akili, nimeahidi kweli sitoisema Simba, wapi kwenye andiko langu kuna neno Simba?Hii inaonyesha tu ulivyochanganyikiwa wewe binafsi na siyo Wanasimba wote. Umeandika Kwa hasira zilizochanganyika na huzuni, mhemko, kisrani na gubu kiasi kwamba hapo ulipo hata akikatisha mwanasimba aliyevaa t-shirt ya CCM itamlamba vibao.
Ulipoahidi kutorudi tena JF kuiongelea Simba wengi tuliona umefanya Jambo la busara maana Tangu siku ya mechi ulionyesha hauko sàwa Kwa hiyo ilikuwa vizuri kujipa Muda wa kupumzika kupoza maumivu. Lakini Leo Mwanasimba kujitokeza kuiombea mabaya zaidi timu yako ifungwe zaidi na Asec kwenye mashindano mengine ili tu usiowataka wadhalilike na waondoke au mgogoro ukomae zaidi siyo Jambo jema.
Binafsi nakubaliana na wewe kwenye maandishi yako mengine kuhusu Tabia ya viongozi wa Simba hasa wakati wa usajili kujihusisha na 10% na wengine kuleta Wachezaji Kwa mihemko. Najua kuna makubaliano ya Siri Kati ya Saidoo na Jaribu Tena kuhusu kupangwa Kila Mechi isipokuwa akiwa majeruhi. Najua pia kilichomuondoa Kakolanya Simba ni kudaiwa sehemu ya fedha za usajili na Jaribu Tena lakini yeye akasema hazitoshi maana ameanza ujenzi wa mgahawa wake kwao Mbeya (Kakolanya Food Point) hivyo anahtaji fedha zaidi na hatakuwa na ziada ya kumgawia. Wachezaji kama Sawadogo, Onana nk watu Wana watu wao.
Lakini hayo yote mlitakiwa kuyasema wakati wa Mkutano Mkuu. Pale ndipo Simba mnapopoteana na kugawanywa Kwa Kipande cha khanga.
Tafadhali himizeni mabadiliko Kwa njia nyoofu lakini si Kwa kupitia maumivu ya kufungwa goli nyingi na Asec tena Kwa kuomba mbinu toka Kwa Mpinzani wenu Mkuu Yanga.
Ww ni kichaa?, Kwahiyo mechi ya familia yako na Memosi?.Wapi nimeitaja Simba?
Duh! Unaendelea kuthibitisha kuwa sikukosea kusema ulikuwa unatafuta attention. Mimi nilipojipa likizo ya mpira na hasa mambo ya Simba nilikuwa likizo kweli na sasa hivi napiga timing tu, kuna mambo najua yanakuja kuvurugika, naweza kupotea mazima. We naona bado unanusanusaWapi nimeitaja Simba ktk andiko langu?