Yanga wapewa pointi 3 na magoli 3 dhidi ya Mbeya City

Yanga wapewa pointi 3 na magoli 3 dhidi ya Mbeya City

Huu ni uhuni! Yaani mbeya city wamecheza hadi idadi yao ikaongezeka!??Nakumbuka niliwahi kupigwa head nikavimba sana nilipoulizwa nyumbani nikawaambia nimegongwa na gari!![emoji2] [emoji2] !Niliona aibu kusema nimepigwa na mtoto mwenzangu.
Muda huo kuna mchezaji wa mbeya city alishatolewa kwa kadi nyekundu, cha ajabu bado walibaki kumi uwanjani
 
Back
Top Bottom