Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho.
Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo, wanaombwa kuwapa MABINGWA No 2 mapokezi ya heshima.
Kazi walioyofanya ni kubwa haswa KUSHINDA MECHI ZOTE katika ardhi za ugenini, hatimaye kuwa BINGWA NAMBA 2 AFRICA na hivyo wanastahili heshima ya kitaifa.